Mtu Wa Namna Hii Unamjibu Vipi?

100 others

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
3,615
12,042
Katika hiki kipindi cha sheria za tozo kuwa tight sana kuna rafiki yangu hapa katuma pesa kwa pisi yake halafu pisi imetuma sms inadai na ya kutolea?, hivi wenzangu mnaokutana na haya maswaibu mnawajibu vipi hawa watu?
Kaniomba nimsaidie kujibu hio sms, nimemwambia atume na ya kutolea hakuna namna, nimemuona jamaa kasogea pembeni akaanza kuongea na simu, ghafla sauti ikapanda na malumbano ya hoja yakaanza, baada ya kelele kuzidi nimeondoka kimya kimya nikasema kimoyomoyo hizi tozo mpaka sasa zimevunja hata ndoa za watu...
 
Very simple.... Unamjibu kwa kuomba hii kitu
images (6).jpeg
 
Mwambie jamaa yako atafute hela, hizo maneno hataziskia kamwe
 
Muulize anataka shi ngap ya kutolea then rudisha muamala halafu mtumie ya kutolea tu
Kama vipi aende Kwa fundi simu watamtolea

Imeisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom