hujaelewa[/QUOTE
kweli sijakuelewa
yaani UDSM mna vituko mtajabebana pasipobebwa
haya mambo ni kuwaonea 1st year
kwani wanetu tunawalipia kila kitu kumbe kuna miPUNGA inaomba kubebwa
kweli mwanangu hajanihadithia habari hii kwani sisi enzi zetu unalala kwenye kitanda chini au juu Double-decker
hii habari ya kuanza kumfadhili mwanammme malazi Duuuuh