Afande Bellick
Member
- Apr 23, 2025
- 17
- 16
Nawasalimu...Natamani mwezi August nifungue biashara ya kuuza mafuta ya kupikia,mchele na karanga. Kama kuna mtu yupo mikoa au eneo linalozalisha hayo mazao tunaweza kujadiliana namna yakufanya biashara kw maslahi ya pande zote mbili kwani nataka Kwa bei ya shambani. Nipo Moshi
Kingine: Hivi mbuzi anaweza kusafirishwa kwenye Buti la basi kwa umbali mrefu bila madhara na/ au kukiukwa Kwa haki zake?
Kingine: Hivi mbuzi anaweza kusafirishwa kwenye Buti la basi kwa umbali mrefu bila madhara na/ au kukiukwa Kwa haki zake?