Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Sasa mimi siitaji movie naitaji ukweli kama wanaishi?!King of knights, Kwenye Game of Thrones wapo wengi
Maelezo kwa kiundani mkuu msaada.wapo hao kaka
Naomba kama una wafaam kwa jina nikawatafute uko kwny website.hao watu wapo ni kama aliens inasemeka chakula chao kikuu ni samaki wabichi hii ndo inapelekea rangi yao kuwa hivo
hao watu wapo ni kama aliens inasemeka chakula chao kikuu ni samaki wabichi hii ndo inapelekea rangi yao kuwa hivoMaelezo kwa kiundani mkuu msaada.
nawaonaga kwenye movie tuNaomba kama una wafaam kwa jina nikawatafute uko kwny website.
Hahahaaa we nawe bwana daa poa..nawaonaga kwenye movie tu
kweli kaka jaribu kuwaulizia ulizia unaweza ukawapata kuna research unaandaa au?Hahahaaa we nawe bwana daa poa..
Ndio kijana zipo nyingi ninaanza hii kwanza nitapopata majibu kwa wataalam nitatupia nyingine.kweli kaka jaribu kuwaulizia ulizia unaweza ukawapata kuna research unaandaa au?
sema ungeachana na hao wadudu watakupotezea mda kakaNdio kijana zipo nyingi ninaanza hii kwanza nitapopata majibu kwa wataalam nitatupia nyingine.
sio watu wazuri hawa
Asee kakomaa huyu.
Kwann wanipotezee muda napenda kujua mkuu wacha nisonge nao mpka nifikie hitimisho langu.sema ungeachana na hao wadudu watakupotezea mda kaka
Kwann na wakati umesema umewaona kwenye movie tu.sio watu wazuri hawa
Duh! Dunia ina mambo kwelikwelihao watu wapo ni kama aliens inasemeka chakula chao kikuu ni samaki wabichi hii ndo inapelekea rangi yao kuwa hivo