Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
12,845
Reaction score
27,270
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth.

Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty.

Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids into this world.

Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.

Pia soma,

JamiiForums1699091369.jpeg
 
Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani Afrika.

Watu maskini wanazaliana kama mapanya na kuongeza idadi ya maskini na umaskini duniani.

Mtu maskini hapaswi kuzaa mtoto kabisa kwenye hii dunia. Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani.

Unapata wapi ujasiri na nguvu za kuzalisha watoto wengi, wakati unajua hali yako ya kiuchumi ni pangu pakavu tia mchuzi?

Unategemea hao watoto waje kula mawe? Unategemea hao watoto waje wavae majani? Unategemea hao watoto waje kusoma vipi? Unategemea hao watoto waje kutibiwa vipi?

Wakati serikali nyingi duniani zikipambana kupunguza umaskini duniani, Kuna mafukara kutwa kucha kungonoka na kutelekeza watoto mitaani. Halafu yanakuja kuonea wivu matajiri walioji "discipline" kuzaa watoto wachache.

Mateso, shida na matatizo mengi ya watu duniani chanzo ni mafukara mawili yaliyoleta kiumbe duniani bila kuwa na uwezo wa kuhudumia na bila kuwajibika kwenye malezi.

Watoto ni gharama. Watoto wanahitaji pesa. Watoto ni pesa. Huna pesa funga zipu usizalishe. Pambana na umaskini wako kwanza. Sio kuzaa kiumbe kije kiteseke duniani.

Solve your poverty first, before bringing kids to this world. Usilete kiumbe duniani kije kiteseke.
Punguza ujasiri kidogo mjumbe
 
Ili huyo mtoto aje anitoe kwenye ufukara. Unaweza kuzaa mtoto akaja kuwa Obama.
 
Una uhakika gani kama watoto wa masikini wanateseka?
Alafu kila mtu ana starehe yake boss,tusipangiane maisha.
Na kwa taarifa yako watoto wa masikini kwa % kubwa ndio wakombozi wa mataifa mengi ukilinganisha na hao matajiri, ambao kazi yao kuiba kwa kalamu.
Labda njoo na hoja nzito ya kuzuia watu kuzaliana.
 
Aisee, ila inategemea umekaa position gani.

Mimi mwenyewe nikiona huna uwezo wa kuingiza USD 20K/month na account yako haina balance ya USD200K nakuona masikini sana na huhitaji kuwa na familia.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Back
Top Bottom