Mtu na nduguye - Inafaa?

Haaa stuka luvvy wewe inawezekana sio ndugu hao mjin hapa kalaghabao....
 
kichwa kidogo kikisimamia maamuzi kichwa kikubwa huwa hakifanyi kazi,huyo mwanaume anaongozwa na hicho kichwa kidogo
 
hahaaa chating yao bana, i hv no comment, bt ukiona mshale unaonyesha nawe fuata then utafika.
 
hii ni ajabu..........ndo ukisasa huu, vjana ndugu wanaongea ama kutenda mambo ya ajabu wakisingizia ndo ukisasa, ukimuuliza utasikia "kwani kuna shida gani", ndo hao kaka mtu akisikia mdogo wake anapotea kwa lolote baya hawezi mkanya coz of mazingira yaliyopo kati yao, dunia inaenda kubaya, duh
 

Afadhali umeuliza wewe, manake na mimi nilikuwa najiuliza huyu mama nae wa namna gani, yaani hujui ndugu wa mumeo? au ndio hizi ndoa za voda fasta??
 

yaaah kimsingi yuko naive sana!hajiamini kabisa!huyo mume kama ni wake she has to stand na kunusuru hyo ndoa na huyo binti amuulize wewe ni wifi yangu au mke mwenzangu,then LIWALO NA LIWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…