HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
mmh, haya manyoya ya bata mzinga.
Hawakulana ila wana mpango wa kulana kabisa, tena washawekeana ndimu, pilipili na kachumbari, waacha wakate hamu tu.
Mawazo yangu hayo. Najiuliza
kama tukiwa na mtoto wa kike huyu sio mmoja wa wale anaeweza hata
kumbaka mtoto wake wa kumzaa kweli?
Luvvy, wewe unafikira gani baada ya kuona hayo maongezi
Luuvy hawa ndugu ni wa kivip? hii itatoa mwanga zaid wa kuelewa
Dah hao ni wagonjwa ama lah wakuombewa hzo sio akili za kibinaadam! aiseeWanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!
Freema Agyeman yani nafikiria tu kwamba hawa watu ni wagonjwa (wote wawili). Ingekuwa mwanamke ambae sio ndugu hizi habari zingekuwa rahisi kidogo kumeza, maana sasa hivi hata kumwangalia mwanaume usoni naogopa. Ananitisha.
Kama nimekuelewa vizuri hao ni ndugu tu, pengine ni ndugu wa kuvuta ambao wangeweza kuoana. Wametamaniana kama ambavyo wangeweza kutamaniana wasio ndugu. Hao wanatakana na ni kama wameshakubaliana kuvunja amri ya sita.
Usitishike tu ukaishia kuugulia moyoni. Chukua hatua, hoji hali hiyo ili ikome. Swala la kutamani watoto hapo baadae halipo.
Shetani yupo mlangoni, mzinge kabla hajaingia ndani.
Wenyewe wanaona sawa, kweli binadamu tumetofautiana.Dah hao ni wagonjwa ama lah wakuombewa hzo sio akili za kibinaadam! aisee
Wanaitana dada na kaka, hata sijapata ujasiri wa kuuliza kama ni wa mama/baba mdogo. Ila nnachojua zaidi ni kwamba BINTI NAE KAOLEWA!!
Hhmmm hata sijui, yawezekana wakawa wa mbali au wa karibu. Ngoja nijikusanye kusanye nipate nguvu ya kuuliza maswali magumu.