Mtu na mzazi mwenzie

Baba wa watoto watatu? We ni mjinga jinga tu,na kwa taarifa yako baba mtoto anatoa matunzo kwa mwanae na mzigo anakula maramoja moja,kwani we ulitakaje ni mkeo huyo?au ni nini kinachokuchanganya?
 
Mchepuko ameshakupima na ameshajua udhaifu wako kata kamba rudi kwa mkeo na tafuta mchepuko mpya
 
Hebu wajibika kwa familia yako, kwa vile umetafuta suluhu na mkeo wa ndoa ni vema ukatulizana na ndoa Yako na ulee hao wanao watatu. Usiendelee kutenda usiyopenda kutendewa
 
Ungekuwa mshkaji wangu ningeshakuzingua kitambo kwa mangumi makofi, tena ikiwezekana napita na mkeo
 
Kupitia huu uzi, nathibitisha kwamba zinaa ni mbaya sana, na mleta mada amefikia hatua ya kuzilipia gharama za uzinzi, ambayo ni mateso na hata kifo asipotubu na kuacha uzinzi mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We ni mjinga sana na utakuja kujua sana baadae, kama ujalogwa ni bahati...

Kaa na mke Achana na huyo mshenzy! Na mke Ali ondoka kwa ajili ya huu ujinga ujinga.

Na pia usiseme “wenye ndoa mnaelewa” Hapana, wenye ndoa hatuelewi mambo ya Kihuni na kishenzy kama yako, shubamity!
 
Kwanza Babu naafsi ya kwenda kwa mchepuko umepata wapi sas mke wa Kwanza umemuaga vip mnk Happ umeficha hbr Kama ulimnunuoia kila kitu chukua vitu vyako ita kiriku ije ibebe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee sasa unataka nin mkuu si utafute mchepuko mwngne huku ukiendelea na wife mchepuko hata hujazaa nae unawaza waza....alaf mtu una watoto 3 unapelekeshwa na mchepuko[emoji849][emoji15][emoji15]??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…