Inawezekana hujaona kina kwa sababu nimepitiliza kwenye kiini.
Ujasiri unajengwa hauji tu kutoka angani, kujiamini kwa membe kunatokana na hatua na mchakato wa maisha aliyopitia, kwa vijana walio wengi maisha hayawapi nafasi ya kujenga uwezo wa kujiamini badala yake wanabakia kuwa submissive kwa masters wao.Tanzania kwa sasa vijana wengi iwe kwenye sekta binafsi au maeneo ya vyuoni au mashuleni au wafanyakazi wa serikali, kumeibuka wimbi kubwa la watu kutokuwa na msimamo. Hii inapelekea kuogopa kupoteza kibarua au kupoteza mme au mke au watoto (compromising).
Maisha kuwa magumu na watu wengi kuwa tegemezi pia yaani wanakutegemea ni sababu ya kufikia kuuza utu wako yaani mtu anaweza hata akakutia vidole machoni.
Naomba wanajukwaa tujadili.
Membe Bernad ni mtu jasiri? Je ujasiri wake upo wapi haswa.
Je, Tundu Lissu ni jasiri? Natamani tuwe watu tunaoweza kusimama imara kwa maslahi ya nchi bila kutetereka.
Kupinga hoja sio kwasababu unamchukia mtoa mada au kiongozi lakini kwasababu unataka usawa au ufafanuzi au weredi katika kufanya kazi.
Karibuni wanajukwaa. Ongezeni unaodhani katika kipindi hiki wanafaa kuwa viongozi kwa sababu ya msimamo wake.
Lol we jamaa ni jinias sana.nafuatilaga sana maoni yako.Kuwa na msimamo si muhimu sana kama kuwa na msimamo sahihi.
Unaweza kuwa na msimamo wa kula mavi, hubadilishi.
Nao ni msimamo.
Pia, unapoongelea kuwa na msimamo, taja na kuhusu nini.
Mtu anaweza kuwa na msimamo katika jambo moja, halafu akakosa nsimamo katika jambo jingine.
Zaidi, kukosa msimamo si kitu kibaya wakati wote. Watu wenye maarifa hubadilisha maoni yao kwa mujibu wa habari mpya wanazopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are far too kind.Lol we jamaa ni jinias sana.nafuatilaga sana maoni yako.
Hivi huyu jamaa kaoa na ana watoto!?..nauliza coz Leo kasema anapenda kuweka Mambo yake wazi.Kuwa na msimamo si muhimu sana kama kuwa na msimamo sahihi.
Unaweza kuwa na msimamo wa kula mavi, hubadilishi.
Nao ni msimamo.
Pia, unapoongelea kuwa na msimamo, taja na kuhusu nini.
Mtu anaweza kuwa na msimamo katika jambo moja, halafu akakosa nsimamo katika jambo jingine.
Zaidi, kukosa msimamo si kitu kibaya wakati wote. Watu wenye maarifa hubadilisha maoni yao kwa mujibu wa habari mpya wanazopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa gani?Hivi huyu jamaa kaoa na ana watoto!?..nauliza coz Leo kasema anapenda kuweka Mambo yake wazi.
Umempa kilemba anataka na kanzu yako pia!!
Kama chamtu chaliwa yakheee...Umempa kilemba anataka na kanzu yako pia!!
Kuwa na msimamo si muhimu sana kama kuwa na msimamo sahihi.
Unaweza kuwa na msimamo wa kula mavi, hubadilishi.
Nao ni msimamo.
Pia, unapoongelea kuwa na msimamo, taja na kuhusu nini.
Mtu anaweza kuwa na msimamo katika jambo moja, halafu akakosa nsimamo katika jambo jingine.
Zaidi, kukosa msimamo si kitu kibaya wakati wote. Watu wenye maarifa hubadilisha maoni yao kwa mujibu wa habari mpya wanazopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Nitakuja kuidai offer nikija wakati wa kupiga kura.Hebu nenda sturbacks kapige coffee sjui capuchino... Ntumie bill ntalipa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kama Wana mobile money hko
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vijimambo tu.Watu humu wanakuona in real life utakuwa mtu complicated sana..., zaidi ya mkomunisti
Ila kwa upande wangu nakuona uko easy tu una amini unacho kiamini! Syo kulazimishwa jambo anachoamini mwingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol we jamaa ni jinias sana.nafuatilaga sana maoni yako.
Aliyetajwa kuwa na msimamo kwenye Post.
These things are relative.Labda u jiniasi wa ujivuni na ubishi kaangalie majiasi wanavyo kua then uje u relate na huyu
Sent using Jamii Forums mobile app