lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,750
- 1,397
Tanzania kwa sasa vijana wengi iwe kwenye sekta binafsi au maeneo ya vyuoni au mashuleni au wafanyakazi wa serikali, kumeibuka wimbi kubwa la watu kutokuwa na msimamo. Hii inapelekea kuogopa kupoteza kibarua au kupoteza mme au mke au watoto (compromising).
Maisha kuwa magumu na watu wengi kuwa tegemezi pia yaani wanakutegemea ni sababu ya kufikia kuuza utu wako yaani mtu anaweza hata akakutia vidole machoni.
Naomba wanajukwaa tujadili.
Membe Bernad ni mtu jasiri? Je, ujasiri wake upo wapi haswa.
Je, Tundu Lissu ni jasiri? Natamani tuwe watu tunaoweza kusimama imara kwa maslahi ya nchi bila kutetereka.
Kupinga hoja sio kwa sababu unamchukia mtoa mada au kiongozi lakini kwa sababu unataka usawa au ufafanuzi au weredi katika kufanya kazi.
Karibuni wanajukwaa. Ongezeni unaodhani katika kipindi hiki wanafaa kuwa viongozi kwa sababu ya msimamo wake.