Mtu mwenye jini mahaba anasaidikaje?

MzeeMpya

JF-Expert Member
Dec 19, 2019
372
500
Naomba kujua nmna ya kumsaidia mtu (mwanamke) mwnye kuteswa na jini mahaba
Aliekuambia ni jini mahaba ni nani? Kawaida ya jini mahaba ni vituko vyake na nimisukosuko yake. Jini mahaba hapandi juu ya kichwa cha binadamu.. Anatawala mwili na kiwiliwili cha binadamu.. Ukitaka maelezo zaidi unitafute pm ni kupe muongozo.
 

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
318
500
Aliekuambia ni jini mahaba ni nani? Kawaida ya jini mahaba ni vituko vyake na nimisukosuko yake... Jini mahaba hapandi juu ya kichwa cha binadamu.. Anatawala mwili na kiwiliwili cha binadamu.. Ukitaka maelezo zaidi unitafute pm ni kupe muongozo.

Dalili zote za jini mahaba nazifahamu
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,125
2,000
Kuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo
Achana na manabii wa Dar.

Nenda kwenye makanisa madogo. Mikoani huko au kajaribu kwa Kakobe sidhani utaombwa pesa siku hiyo hiyo.
 

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
3,219
2,000
Kuna watu huchanganya kati ya jini mahaba(pepo la ndoa ya gizani) na jini wa uzinzi na uesharati(jini wa umalaya).

Mtu anapokuwa na jini mahaba hawezi kuwa na ndoa imara tena mpaka ling'olewe.

Kwa maelezo yako ni kweli ana jini mahaba.

Kosa kubwa mlilofanya ni kumpeleka kwa wajasiriamali ambao hawana Mungu ndani yao bali kuna tamaa ya fedha na umaarufu tu.
 

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
318
500
Kuna watu huchanganya kati ya jini mahaba(pepo la ndoa ya gizani) na jini wa uzinzi na uesharati(jini wa umalaya)...

Tulivompeleka kwa nabii huyo ni kama ndo tumeongeza ttz yan ss hv kazid kubadilika anamchukia mumewe sana na hatak kbs kusikia kitu kinaitwa maombi
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,711
2,000
Jini mahaba ana ambukiza? Asije tolewa kwa mke halafu ana hamia kwa mume...

Na akitoka ana kufa au INA kuwaje?
 

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
318
500
Nabii mzinzi, muhuni na tapeli .
Mtu aliyeitwa na Mungu hawezi kuweka kutoa pepo kwa fedha. Tatizo mnawadharau watumishi wa kweli kwakuwa hawana magari

Shida ni jinsi ya kumjua yupi mkweli na yupi muongo..wakiongea au wakiwa wanaomba sio rahis kuwajua uhalisia wao had wafanye tukio kama hili la kuomba pesa ndo mtu unashtuka unajua haupo mahali sahihi
 

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,733
2,000
Kuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo
We mwehu kweli Kama wewe ungekua mchungaji ungeacha shuguli zako ukaombee watu bure
 

ujoka

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
2,186
2,000
Kuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo
Nabii wa mwenge nini huyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom