Isack Elia
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Naomba kujua nmna ya kumsaidia mtu (mwanamke) mwnye kuteswa na jini mahaba
Mpeleke kanisani wamtoe au mpeleke kwa Sheikh amfundishe namna ya kuishi naloNaomba kujua nmna ya kumsaidia mtu (mwanamke) mwnye kuteswa na jini mahaba
Mpeleke kanisani wamtoe au mpeleke kwa Sheikh amfundishe namna ya kuishi nalo
Aliekuambia ni jini mahaba ni nani? Kawaida ya jini mahaba ni vituko vyake na nimisukosuko yake. Jini mahaba hapandi juu ya kichwa cha binadamu.. Anatawala mwili na kiwiliwili cha binadamu.. Ukitaka maelezo zaidi unitafute pm ni kupe muongozo.Naomba kujua nmna ya kumsaidia mtu (mwanamke) mwnye kuteswa na jini mahaba
Aliekuambia ni jini mahaba ni nani? Kawaida ya jini mahaba ni vituko vyake na nimisukosuko yake... Jini mahaba hapandi juu ya kichwa cha binadamu.. Anatawala mwili na kiwiliwili cha binadamu.. Ukitaka maelezo zaidi unitafute pm ni kupe muongozo.
Achana na manabii wa Dar.Kuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo
Mpe anachotaka si anajini mahaba basi mpe mahaba mkuu.
Na unafahamu kua majini yanaiga tabia na mfumo kwa ajli ya kukupoteza. Kukupoteza mali yako?Dalili zote za jini mahaba nazifahamu
Achana na manabii wa Dar.
Nenda kwenye makanisa madogo. Mikoani huko
Na unafahamu kua majini yanaiga tabia na mfumo kwa ajli ya kukupoteza. Kukupoteza mali yako?
Kwani uko wapi ?Kadri siku zinavyoenda mgonjwa hataki kbs kusikia masuala ya kanisa na watumishi ukiwaomba kuja nyumbn wanakua wagumu
Kwani uko wapi?
Kuna watu huchanganya kati ya jini mahaba(pepo la ndoa ya gizani) na jini wa uzinzi na uesharati(jini wa umalaya)...
Kuna dawa mchanganyiko ya miti ya kiarabu aina ya 47. Kisha anasomewa dua ya jaljalut kubra mara3 kwa siku3Naelewa na hayo yameshatokea
Nabii mzinzi, muhuni na tapeli .Tulivompeleka kwa nabii huyo ni kama ndo tumeongeza ttz yan ss hv kazid kubadilika anamchukia mumewe sana na hatak kbs kusikia kitu kinaitwa maombi
Nabii mzinzi, muhuni na tapeli .
Mtu aliyeitwa na Mungu hawezi kuweka kutoa pepo kwa fedha. Tatizo mnawadharau watumishi wa kweli kwakuwa hawana magari
We mwehu kweli Kama wewe ungekua mchungaji ungeacha shuguli zako ukaombee watu bureKuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo
Nabii wa mwenge nini huyo?Kuna nabii alijaribu kumuombea kasema inabd itolewe elfu 50 ili akombolewe kwa ufahamu wangu maombi hayalipiwi tukapotezea ila ss hv mgonjwa hataki kabsa kusikia kitu kinaitwa maombi na anamchukia mume wake kupita maelezo