mtu mwenye irregular periods anaweza kupata mimba?

na mie nina hilo tatizo la kupata irregular periods yaan mda wowote tuu inaaanza na ikiamua inaacha
How old are you, na hili tatizo ni tokea umeattain menarche? have you ever conceived, please give details of the irregularities of your cycle, I might help.
 
Maelezo uliyopewa yote ni muhimu na sawa,labda nikupe reference ya niliyoyashuhudia.

Kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo na mkewe.kumbe siri kubwa ilikuwa siku ya ovulation inaangukia siku ya mp,hii ilitokana na mzunguko wake kuwa mfupi yaani 15 days.

Ushauri wangu ni kwamba waone wataalamu ili wakuelekeze ni wakati gani wa kupata mimba mara nyingi huanzia siku ya 11 toka aanze mp
 


Nashukuru kwa hii information mkuu.
 

Asante kwa ushauri
 
How old are you, na hili tatizo ni tokea umeattain menarche? have you ever conceived, please give details of the irregularities of your cycle, I might help.
mwaka huu naingia 22, nilivunja ungo nikiwa na miaka 13 , nikaenda iringa kusoma, nikawa napata period hata baada ya miezi sita ,nikambiwa coz of change of weather, iringa ni baridi kali na home ni joto, hali hiyo iliisha kama baada ya miakaa mi3 hivi ila kuanzia wakati huo mpk ss huwa period zangu haziko sawa, yaan nastukia tuu nishaanza na nishamaliza, na muda mwingine nableed cku 4 wkt mwingine5, na huwa ninarecord ya kuanzia 2009 january mpk sasa, huwa naziandika, ukiziangalia na kuzihesabu wala haziko sawa, cjawahi kuzaa, huwa natumiaga condom coz hata kuhesabu safe period naona haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…