Mtu mwenye division iv ya 26

Mtu mwenye division iv ya 26

Private ruhsa sababu wanaangalia credit 3 tu ila serikalini haiwezekana maana lazima uwe na division 3,2,1 tu na uwe na credit 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.
 
Nilipata matokeo hayo nikachaguliwa second selection, japo sikwenda. Labda kama siku hizi wamebadilisha
 
Write your reply...wakuu hivi kielimu, imekaaje mtu kwenda Advance Kwa HKL private na kwenda chuo certificate ya sheria ,, msaada tafadhalii
 
Back
Top Bottom