Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,915
- 17,000
Kuna shindano lilitangazwa la kumtafuta mtu mvivu kuliko wote duniani.mchakato ulifanyika mwaka mzima, wengi walienda kuhudhuria na kushiriki hilo shindano mwishowe wakapatikana watu watano kwenye fainali. hivyo wakawekwa pamoja waelezee ni nini hasa walifanya kuonesha kuwa wao ni wavivu sana.
1.JAMAA WA 1. Mimi ni mvivu mpaka nimepofuka macho sababu ya uvivu. siku moja nlikuwa nipo porini nimelala chali chini ya mti wenye kivuli. mara akaja ndege mmoja akawa anadonoa mdudu kwenye ule mti. nlishawah kuambiwa kuwa ule mti una utomvu wenye sumu kali sana madaktari wanasema ni asidi na kuwa ukikudondokea mwilini hiyo sehemu inaungua. basi mi nikawa nimejilalia chali natizama juu yule ndege akawa anadonoa mdudu .katika kudonoa akapasua ule mti.utomvu ukawa unanidondokea usoni na mwishowe machoni. nlijisikia uvivu kugeuka au kufumba macho hatimaye macho yangu yakapofuka sababu ya ule utomvu.mpaka sasa sioni na pia masikio yote yalikatika pamoja na pua kuungua.
JAMAA 2. huyu alikuwa amekaa kwenye kiti cha matairi. " mimi ni mvivu mpaka nimepata ulemavu sababu ya uvivu. kuna siku nilikuwa nyumban kuna barid kali sana. hivyo mama akawasha moto akaniacha nikawa nimekaa naota. mara ya kwanza moto haukuwa mkali sana. ukawa unazidi kukolea. ulikolea sana mpaka ukaanza kuniunguza miguuni. nami nlijisikia uvivu kusogeza miguu. basi miguu yangu ilianza kuungua na kwa jinsi nlivyokuwa najisikia uvivu sikutaka hata kupiga kelele. nlisikia maumivu makali sana ila nikawa tu nmetulia. moto ulishika nguo na ukaanza kuniunguza miguu yote ikawa kama ndafu mama aliporudi toka kisimani alinikuta nawaka moto ndo akaniwah kunizima. nikapelekwa hospital. ilibidi wanikate tu miguu yote na mkono mmoja na pia kunisaidia vidonda vipone sehemu nyingine za mwili. ndo maana mnaniona nimepata ulemavu hivi.
JAMAA WA 3. mi nina mke hivi sasa tuna watoto 4 ila hakuna hata mmoja ambaye ni wangu. watu wakashtuka kuwa jamaa ana tatizo gani. akaendelea.nlipoona nmekuwa mtu mzima na uwezo upo nikampenda dada mmoja.nikaoa, basi nikajisikia uvivu hata kusimamisha mashine. mke wangu akajaribu kila kitu mi namtizama tu sababu sikuwa napenda usumbufu wa kuisimamisha wakati imelala basi nikaja kuta tu ana mimba ya kwanza...mi wala sikutaka shida ya kumuuliza. nikamwacha tu,mara mtoto wa pili,mara wa tatu na sasa wa nne. mi sijui watoto wa nani lakini sijaweza muuliza kwa sababu najisikia uvivu sana.ila naendelea kuishi naye sababu nampenda sana.
JAMAA WA 4. Mimi toka nimezaliwa watu wanadhani ni bubu na kiziwi. kumbe wala si bubu wala kiziwi. siku ya kwanza nimezaliwa nilijisikia uvivu kulia.nakumbuka nesi alinifinya na mama akanitikisa tikisa kwa nguvu nikawa namcheck tu silii wala nini.nikamsikia akisema mtoto ni bubu. basi nimekuwa siku zote wananisema nasikia sijibu kitu maana najisikia uvivu. hapa mnaniona mkono mmoja umekatwa. nilipokuwa na miaka 15 siku moja nikiwa nyumban nilimsikia housegirl anaongea na watu kuwa kwa kuwa mimi ni albino viungo vyangu vinaleta utajiri basi yeye atawauzia mkono mmoja tsh mil 5.sikutaka hata kujibu au kusema kwa wazaz.kweli kesho yake akanichukua na kunipeleka kwa jamaa flan tukiwa njian tukavamiwa na watu wale wawili wakanikata mkono.dada wakampiga kidogo na kumwacha amelala kama kazimia. jioni msamalia mwema akatuona na kutupeleka hosp. mi mpaka leo sijawaambia nyumban kuwa housegirl alihusika najisikia uvivu.
MTANGAZAJI. Jamaa wa tano ana kisa kikali sana hebu naye atusimulie popote alipo aje Jukwaani tafadhari. IKASIKIKA SAUTI "YUPO KWAO" akajitokeza mama mmoja kikongwe sana anatembea kwa kushikwa mikono. " MWANANGU NIMEMWAMBIA LEO NDO FAINALI AKANIANGALIA TU AKAENDELEA kulala mwezi wa tatu huu hajaamka anajisikia uvivu. ameshindwa kuja sababu ya kushikwa na uvivu" ila mimi mama yake nimekuja kuwapa taarifa .
kati ya hao JAMAA NANI NI MVIVU KULIKO WOTE???????