Tatizo liko wapi??
Mkuu hivi huoni impact ya wasomi nchini?
Japo ni ndogo lakini huwezi kusema hakuna impact ya wasomi na uko serious kabisa.
Ch kushangaza upo jf kwenye platform ya
Maxence Melo ambaye ni msomi wa tz. Uko serious kweli kijana??
Punguza dhihaka.