umechanganya uzi mkuu huyu sio anaetaka dawa ya kujiua huyu anahusu mshangazi😂😂Non-maleficence
Pengine wewe ndiye umemloga.
Haiwezekani, unamtafutia unayemuita mdogo wako dawa ya kummaliza haraka. Tena kwa kupamba kipuuzi kweli.
Na akifa bado kwenye msiba, utalia machozi yenye makamasi. Kumbe mnafiki mkubwa.
Wewe humpendi nduguyo, unataka kumuua.
Ningeona busara ungeonyesha anaugua nini. Imetokeaje na ushauri wa matibabu. Si kumtafutia dawa ya kummaliza.
Mshangazi kishamroga huyo jamaa, si akili zake huyo kususa familia yakeNawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua.
Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani.
Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na kunielekeza kazi Kwa uzuri kabisa.
Sasa huyu bro ana mke wa ndoa ambaye anaishi wilaya jirani, mara chache alikua anakuja kumtembelea bro.
Huyu shemeji amekata mguu baada ya kugundua bro anajihusisha kimapenzi na mpangaji mwenzake ( mshangazi) approximate 45 age.
Changamoto bro alikua na nyumba ambayo hakuimalizia, hivi sasa ametoka kuuza nyumba Geita milion 25 ili aje akamilishe hii nyumba Kwa ajili ya mshangazi, mshangazi mwenyewe amekaa kimkakati na aliwahi kumuelekeza mpangaji mwenzake kwamba anasubili nyumba iishe akabidhiwe Kisha amteme bro maana hampendi ila tu anashida na nyumba na pesa za kula ukizingatia ana watoto 2 mmoja kidato cha pili mwingine darasa la sita.
Sijajua bro amepigwa dawa au ndo penzi la shangazi limemhamisha ufahamu ndo sijui maana hata Kwa mkewe haendi, Kwa kifupi wametengana.
Hoja ya msingi ni kwamba, je nimsanue kwamba anaibiwa au nimuache maana nawasiwasi anaweza kwenda kumsimulia mkewe (shangazi) wakanichukia milele.
Aisee, si wanaume tuwe na akili kichwan. Huu ni upumbavu, unalewaje na Penzi na mwanamke aged as if ndo unazaliwa leo?
Naomba ushauri, nimsanue au nimuache?
Mods itakuwa wameuhamisha. Hahahahhaa.umechanganya uzi mkuu huyu sio anaetaka dawa ya kujiua huyu anahusu mshangazi😂😂
hahahhahaMods itakuwa wameuhamisha. Hahahahhaa.
Mwambie bro, usimuache akateketea!Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua.