Duh!..kiongozi Asante,je hii ni scientfic proved au mauzoefu yako tu mkuu?wakati yupo tumbon alilalia mkono au upande wa kulia na kufanya mashoto huwe free na kuwa na nguvu.
Kama ni natural born Left handed ujue umezaa Genious.. Mpe nafasi ya kuwa independent wakati unamkuza, mwache achague mwenyewe lolote lile, halafu we ndio umrekebishe kama kachagua baya na uwe tayari kumpa maelezo maana wanadadisi kweli... After his/her early teens utagundua nilichokuambia kuwa ni genious..
Watu wengi maarufu duniani (maarufu kwa changes walizoleta), more than 75% ni left handeds.. Eg. Obama na wengine wengi.
Honger Kwa Kuzaa Genious
ubongo umegawanyika katika hemispheres mbili, left side na right side, watu wanaotumia upande wa kulia control huwa inatoka left side of the brain, sasa ukija kwa left handers control inatoka right side of the brain. Ambayo watu left handers ni special cases mostly ether by inheritance au genetical make up kama ilivyo swala la mapacha...
What to note is that wazazi wengi huwa wanawadescourage watoto wao wanapojua ni mashoto THIS IS NOT RIGHT inakuja kumsababishia matatizo mengi sana ikiwemo tatizo la kumbukumbu na ugumu wa vitu kama mahesabu...So cha kufanya ni kumuacha na kumtafutia vifaa ambavyo vina encourage left handedness mfano mlango wa chumba chake uwekwe tofauti na mingine, na baadhi ya vifaa kama mikasi iliyotengenezwa maalum kwa left hand people...watu wengi wa namna hiyo huwa wana uwezo mkubwa ,sana katika sayansi, mahesabu kama hawatakuwa discouraged na pia wana uwezo mkubwa sana kimichezo na hasa kama ni wasichana wanakuwa na extraordinary capacity of learning
Kwa maelezo zaidi unaweza kunicheki au uliza swali ambalo unahisi unahitaji msaada
Pia nimesahau kukushauri ukampime maendeleo ya Child motor development, madaktari wa watoto wanaifahamu hii ili waweze ku approve kama ni left hander coz wengine hukuta siyo left hander lakini upande wa kulia una slow coodination system...madaktari wa watoto wanajua kuipima hii vizuri sana
Kama ni natural born Left handed ujue umezaa Genious.. Mpe nafasi ya kuwa independent wakati unamkuza, mwache achague mwenyewe lolote lile, halafu we ndio umrekebishe kama kachagua baya na uwe tayari kumpa maelezo maana wanadadisi kweli... After his/her early teens utagundua nilichokuambia kuwa ni genious..
Watu wengi maarufu duniani (maarufu kwa changes walizoleta), more than 75% ni left handeds.. Eg. Obama na wengine wengi.
Honger Kwa Kuzaa Genious
Hii ndio kwanza naisikia........ ipo proved scientifically??wakati yupo tumbon alilalia mkono au upande wa kulia na kufanya mashoto huwe free na kuwa na nguvu.
Ma-genious hao......!!!nina watoto wawili wa kiume wote wanatumia kushoto miguu na mikono ha ha kumbe nina jamaa wa nguvu.nawaombea wawe na mafanikio.