Habar, mimi ni mtaalam wa kutumia account package ya Tally ERP 9, nimeitumia kusimamia shughuliza duka la spare pamoja Depot ya vinywaji baridi naifaham kuitumia ipasavyo, ninauzoefu nayo wa mika isiopungua 8 ktk kuifanyia kazi, naomba mawasiliano yako