Mtu anayejigamba kuwa 'mungu' Kenya

Mtu anayejigamba kuwa 'mungu' Kenya

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Je, umewahi kusikia mtu anajiita Mungu na ni binadamu wa kawaida na wafuasi wake wanaamini

kuwa yeye ndiye muumba wao? Yuko magharibi mwa Kenya anajiita Jehova Wanyonyi na anadai

kuwa yeye ndiye Mungu. Paul nabiswa alimtembelea kwake katika kijiji cha Chemororoch

kilomita hamsini kutoka mji wa Eldoret na kuandaa taarifa ifuatayo.



 
Last edited by a moderator:
Yeye kama mungu kweli waje alshabaab pale muone kama haanzi kumuomba mungu wa kweli! huyo utakuta kuna ndugu,hata wanae labda wamesha tangulia mbeleza haki na alisikitika sasa yeye mungu awarudishe
 
Yeye kama mungu kweli waje alshabaab pale muone kama haanzi kumuomba mungu wa kweli! huyo utakuta kuna ndugu,hata wanae labda wamesha tangulia mbeleza haki na alisikitika sasa yeye mungu awarudishe
Dini zipo zaidi ya laki 1 Mungu watakuwa ni wangapi?
 
Back
Top Bottom