omariochumu
Member
- Jan 8, 2018
- 12
- 4
Hivi mtu akihitaji kujiunga na jeshi la polisi na mfano amepitia mgambo na si JKT au JKU anaweza kubaliwa ombi lake la kujiunga?
noma sana tena noma noma"akijaji" ndio nini??? We mgambo sele tulia Kwanza uandike vizuri au ulikua unakimbizwa na wamachinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ivi mtu akiitaji kujiunga na jeshi la polisi na mfano amepitia mgambo na si jkt au jku anaweza kubaliwa ombi lake la kujiunga ?
"akijaji" ndio nini??? We mgambo sele tulia Kwanza uandike vizuri au ulikua unakimbizwa na wamachinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanataka form 4 aliyepata daraja la 4, sasa kama una div 2 au 1 hio sahau.
Mkuu mbona unafurahi au qualification zimekubali?
Sure but what we do now daysBy the way mkuu hio sio kazi, achana nayo utakuja kunishukuru baadae
Amna kiongozi kuna jamaa yangu hapa anahojiMkuu mbona unafurahi au qualification zimekubali?
Ni niniMgambo sio jeshi
NdioHivi mtu akihitaji kujiunga na jeshi la polisi na mfano amepitia mgambo na si JKT au JKU anaweza kubaliwa ombi lake la kujiunga?
Anaweza kubaliwa eeheNdio
Kupitia mgambo unaajiriwa popote sababu mgambo sio ajira rasmi ni kijitolea kama jktila kama ulishaajiriwa na Jeshi lolote kama Magereza, JW na Uhamiaji hautakubaliwaAnaweza kubaliwa eehe
Bado sijajua kwanini mgambo walio wengi wanaitwa Sele. Hii Issue ni genetics I guess."akijaji" ndio nini??? We mgambo sele tulia Kwanza uandike vizuri au ulikua unakimbizwa na wamachinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bado sijajua kwanini mgambo walio wengi wanaitwa Sele. Hii Issue ni genetics I guess.
Ooohoh sawaKupitia mgambo unaajiriwa popote sababu mgambo sio ajira rasmi ni kijitolea kama jktila kama ulishaajiriwa na Jeshi lolote kama Magereza, JW na Uhamiaji hautakubaliwa
Ndio maana hata wenye jeshi ukifanya kitu Cha ovyo wanakuambia mbona unakua Kama mgambo?wakimaanisha mgambo Bado sio mwanajeshiNi nini