Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 782
- 1,391
EphenKwanini?
EphenKwanini?
Mojawapo ya maandiko takataka kabisa.Acha urongo,kuna wanaokufa jwa kuliwa na samaki,wengine huchomwa moto,so andiko lako liko batili
Kumbe upo apa na wewe unapata kikombe cha chai?Kwanini?
Njoo na maandazi tuleKumbe upo apa na wewe unapata kikombe cha chai?
Apa❌Kumbe upo apa na wewe unapata kikombe cha chai?
Hii chai imezidishwa majani ,itakua ni matumizi mabaya ya maandazi.Njoo na maandazi tule
✅️Apa❌
Hapa✅
Kama utachomwa je..?Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.
Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.
Baadae kila mtu anapotawanyika na ameachwa pekee chini ya ardhi, Mungu huirudisha roho yake.
Anafungua macho na kuamka kutoka "ndoto yake mbaya". Mwanzoni, hufurahi na kushukuru kuwa alikuwa anaota tu, na sasa ameamka kutoka usingizini.
Kisha hujigusa mwili wake ambao utakuwa umefunikwa na kitambaa cheupe,na kwa mshangao hujiuliza "shati/gauni langu liko wapi?"
Kisha ana anza kujihisi "niko wapi?" "hii ni sehemu gani?" Mbona kuna harufu ya udongo kila mahali? Ni nini haswa ninacho kifanya hapa?
Hapo ndipo atakapo anza kugundua kuwa yuko chini ya ardhi na alicho kihisi haki kuwa ndoto!
Ndiyo, anagundua kuwa ni kweli yeye amekufa, na amezikwa.
Anapiga kelele kadri anavyoweza kuwaita watu waliokuwa karibu nae ambao wangeweza kumuokoa:
"baba"
"mama"
"kaka"
"dada"
"rafiki"
Hakuna anaemjibu. Kisha anagundua kuwa Mwenyezi Mungu ndio tegemeo lake pekee. Akilia na kumuita huku akimuomba msamaha :
...
Eee Mwenyezi Mungu
Nisamehe mimi !!!
Anaita akiwa na hofu kubwa,ambayo hakupata kuwa nayo alipokuwa hai .
Kama alikuwa mtu mwema na mcha Mungu, malaika wawili wakiwa na uso ulio na furaha watamkalisha na kumliwazana kumhudumia vizuri.
Kama alikuwa mtu mbaya na hakuwa mcha Mungu, malaika wawili watamwongozea hofu yake na kumpa mateso kufuatana na amali zake mbaya.
Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.
Ewe Mwenyezi Mungu, usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.
Basi usiwagonganishe Guede na Lukasi kama kweli unaitaka mbinguHili bandiko limenitisha
Mimi nataka kwenda Mbinguni😣
Misri kila Leo wanafukua maiti hakuna inayokutwa ilijigeuza jamaa muongoAcha urongo,kuna wanaokufa jwa kuliwa na samaki,wengine huchomwa moto,so andiko lako liko batili
Tunasubiri muongozo.
Unamuogopa shekhe ubwabwa.Duuh! Andiko limeniogopesha asee ☹️
Mmh! Lakini hizi story si njema sana kwa wengine mkuu.Unamuogopa shekhe ubwabwa.
Hata uogope vipi kufa utakufa tu
We live ones we die ones ishi umo
Nyie ndio mnasababisha bangi ipigwe marufuku.Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.