Mtu anavyojihisi pindi akifariki

Mtu anavyojihisi pindi akifariki

Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.
Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.
Baadae kila mtu anapotawanyika na ameachwa pekee chini ya ardhi, Mungu huirudisha roho yake. Anafungua macho na kuamka kutoka "ndoto yake mbaya". Mwanzoni, hufurahi na kushukuru kuwa alikuwa anaota tu, na sasa ameamka kutoka usingizini. Kisha hujigusa mwili wake ambao utakuwa umefunikwa na kitambaa cheupe,na kwa mshangao hujiuliza "shati/gauni langu liko wapi?"
Kisha ana anza kujihisi "niko wapi?" "hii ni sehemu gani?" Mbona kuna harufu ya udongo kila mahali? Ni nini haswa ninacho kifanya hapa?
Hapo ndipo atakapo anza kugundua kuwa yuko chini ya ardhi na alicho kihisi haki kuwa ndoto!
Ndiyo, anagundua kuwa ni kweli yeye amekufa, na amezikwa.
Anapiga kelele kadri anavyoweza kuwaita watu waliokuwa karibu nae ambao wangeweza kumuokoa:
"baba"
"mama"
"kaka"
"dada"
"rafiki"

Hakuna anaemjibu. Kisha anagundua kuwa Mwenyezi Mungu ndio tegemeo lake pekee. Akilia na kumuita huku akimuomba msamaha :
...
Eee Mwenyezi Mungu ...
Nisamehe mimi !!!

Anaita akiwa na hofu kubwa,ambayo hakupata kuwa nayo alipokuwa hai .

Kama alikuwa mtu mwema na mcha Mungu, malaika wawili wakiwa na uso ulio na furaha watamkalisha na kumliwazana kumhudumia vizuri.

Kama alikuwa mtu mbaya na hakuwa mcha Mungu, malaika wawili watamwongozea hofu yake na kumpa mateso kufuatana na amali zake mbaya.

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.

Ewe Mwenyezi Mungu, usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.
Ooh marehemu alikuja akawahadithia....................hii stori nzuri kuipeleka jumuiya waongeze maokoto
 
Jisifie halafu niwe zangu nakula apples na Yohana unililie nikutupie hata 1 muda huo unaungua machozi kama yote😂
Umeona jinsi unavyopotea mdogo angu?? Mbinguni huwa hakuna kula wala kunywa?? Ndio maana nakuambia wewe mbingu unavyokwenda sio ya sisi watakatifu wa Bwana.
Screenshot_20240626_194035_Samsung Internet.jpg
 
Umeona jinsi unavyopotea mdogo angu?? Mbinguni huwa hakuna kula wala kunywa?? Ndio maana nakuambia wewe mbingu unavyokwenda sio ya sisi watakatifu wa Bwana.
View attachment 3026923
Hainogi mbona? Ingebidi kuwe na misosi tunajisevia hadi rahaa
Supu ya kuku wa kienyeji plus chipsi yai
Utamu mpaka kisogoni🤸
 
Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.

Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.

Baadae kila mtu anapotawanyika na ameachwa pekee chini ya ardhi, Mungu huirudisha roho yake.

Anafungua macho na kuamka kutoka "ndoto yake mbaya". Mwanzoni, hufurahi na kushukuru kuwa alikuwa anaota tu, na sasa ameamka kutoka usingizini.

Kisha hujigusa mwili wake ambao utakuwa umefunikwa na kitambaa cheupe,na kwa mshangao hujiuliza "shati/gauni langu liko wapi?"

Kisha ana anza kujihisi "niko wapi?" "hii ni sehemu gani?" Mbona kuna harufu ya udongo kila mahali? Ni nini haswa ninacho kifanya hapa?

Hapo ndipo atakapo anza kugundua kuwa yuko chini ya ardhi na alicho kihisi haki kuwa ndoto!

Ndiyo, anagundua kuwa ni kweli yeye amekufa, na amezikwa.

Anapiga kelele kadri anavyoweza kuwaita watu waliokuwa karibu nae ambao wangeweza kumuokoa:
"baba"
"mama"
"kaka"
"dada"
"rafiki"

Hakuna anaemjibu. Kisha anagundua kuwa Mwenyezi Mungu ndio tegemeo lake pekee. Akilia na kumuita huku akimuomba msamaha :
...
Eee Mwenyezi Mungu
Nisamehe mimi !!!

Anaita akiwa na hofu kubwa,ambayo hakupata kuwa nayo alipokuwa hai .

Kama alikuwa mtu mwema na mcha Mungu, malaika wawili wakiwa na uso ulio na furaha watamkalisha na kumliwazana kumhudumia vizuri.

Kama alikuwa mtu mbaya na hakuwa mcha Mungu, malaika wawili watamwongozea hofu yake na kumpa mateso kufuatana na amali zake mbaya.

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.

Ewe Mwenyezi Mungu, usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.
Stori za kwenye quran ni za ajabu ajabu sana, ni za kiwendawazimu.
 
Hainogi mbona? Ingebidi kuwe na misosi tunajisevia hadi rahaa
Supu ya kuku wa kienyeji plus chipsi yai
Utamu mpaka kisogoni🤸
Poleee.....
Kwa taarifa yako sasa, kule
Hakuna kula
Hakuna kunywa
Hakuna kulala wala kupumzika
Hakuna usiku
Kule kaz kaz.
Kusifu na kuabudu tu,
Kuinama na kuinuka mbele ya kiti cha enzi.

Sasa kama unafikiri kule ni bata, bora ughairi, kule ni shughul nzito 24/7
 
Nataka niende hivyohivyo mie
 
Hizo story tu, wanaozama baharini bila kupatikana inakuaje? , wanaoungua moto na kuteketea kabisa inakuaje ? Kuna madhehebu hawaziki watu wanachoma na kutunza majivu !
Pia kuna watu huwa wanadonate viungo vyao kabla ya kufa wanaomba wasizikwe viungo vyao vitumike kwenye majaribio ya sayansi !
 
Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.

Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.

Baadae kila mtu anapotawanyika na ameachwa pekee chini ya ardhi, Mungu huirudisha roho yake.

Anafungua macho na kuamka kutoka "ndoto yake mbaya". Mwanzoni, hufurahi na kushukuru kuwa alikuwa anaota tu, na sasa ameamka kutoka usingizini.

Kisha hujigusa mwili wake ambao utakuwa umefunikwa na kitambaa cheupe,na kwa mshangao hujiuliza "shati/gauni langu liko wapi?"

Kisha ana anza kujihisi "niko wapi?" "hii ni sehemu gani?" Mbona kuna harufu ya udongo kila mahali? Ni nini haswa ninacho kifanya hapa?

Hapo ndipo atakapo anza kugundua kuwa yuko chini ya ardhi na alicho kihisi haki kuwa ndoto!

Ndiyo, anagundua kuwa ni kweli yeye amekufa, na amezikwa.

Anapiga kelele kadri anavyoweza kuwaita watu waliokuwa karibu nae ambao wangeweza kumuokoa:
"baba"
"mama"
"kaka"
"dada"
"rafiki"

Hakuna anaemjibu. Kisha anagundua kuwa Mwenyezi Mungu ndio tegemeo lake pekee. Akilia na kumuita huku akimuomba msamaha :
...
Eee Mwenyezi Mungu
Nisamehe mimi !!!

Anaita akiwa na hofu kubwa,ambayo hakupata kuwa nayo alipokuwa hai .

Kama alikuwa mtu mwema na mcha Mungu, malaika wawili wakiwa na uso ulio na furaha watamkalisha na kumliwazana kumhudumia vizuri.

Kama alikuwa mtu mbaya na hakuwa mcha Mungu, malaika wawili watamwongozea hofu yake na kumpa mateso kufuatana na amali zake mbaya.

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.

Ewe Mwenyezi Mungu, usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.

Acha porojo, Kwa maana, walio hai wanajua watakufa lakini wafu hawajui neno lote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom