Mtu anatuita INTARAHAMWE ashitakiwe

Mtu anatuita INTARAHAMWE ashitakiwe

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu Jasson Rweikiza alitaka itumike ili
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?
Elimu zingine ni mashaka tu!
Tena wanasema anadigirii ya sheria
Mwenye CV ya huyu mzigo wa CCM atuwekee hapa jamvini.
 
Tena anatakiwa kuanza kumshitaki komba aliyeahidi iwapo serikali tatu zitapita kama pendekezo la tume linavyotaka ATAINGIA MSITUNI huu ni uhaini wa wazi kabisa.

BACK TANGANYIKA
 
Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu alitaka
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?

Mwenye jina la mjumbe yule alitupie hapa mimi sikumfahamu hata jina

Kwahiyo INTERAHAMWE wamechukia siyo?Ina maana hawakumsikia mmoja wa makamanda wa INTERAHAMWE Kapteni Komba akipanga kuingia msituni kupambana sijui na nani vile kwa kisingizio cha kuipigania serikali mbili?
 
Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu jasson rweikiza alitaka
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?
Hajafanya kosa lolote CCM kweli ni INTERAHAMWE
 
Halafu mtu kama huyo anajiita mwanasheria na badio anaropoka tu. Anataka Prof Lipumba ashitakiwe kwa sheria ipi? Na bado anasahau kinga aliyo nayo. Siasa zinapofusha watu kweli
Ni mbunge wa Bukoba (v) jasson rweikiza
 
Hajafanya kosa lolote CCM kweli ni INTERAHAMWE

Sasa zuzu anasema na watz tunasikia eti kosa la jinai
Hivi vijumbe vingine bana yani ni vimzigo vya hatari
 
Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu jasson rweikiza alitaka
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?

Hawa watu bwana we acha tu. Hivi tukimuuliza huyo jamaa kuwa hiyo hoja iko wapi kwenye rasimu waliyopewa atasema iko wapi? Ndo za watu walioambiwa wasome rasimu sasa wanakuja na ngonjera za zao. Ukiona watu wanarukia rukia vioja vya kuazima ni kwa kuwa hawana hoja ya kuwasilisha. Yasipotokea matukio fulani fulani basi midomo yao isingekuwa na la kusema kwa kuwa hakuna connection ya rasimu na wanachokisema. Hoja ya serikali mbili iko wapi kwenye rasimu?

wataalamu wa mipasho hao wangejiunga na twanga pepeta wangefaa sana.
 
hao kweli ni interahamwe. kama kweli wameshinda kuheshimu maamuzi yetu sina jina lingine la kuwaita. na Prof yupo sahihi kabisa.

Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu jasson rweikiza alitaka
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?
 
:embarassed2:ugunduzi wa wazi angalia kijana anayependa ccm anatabia za kishoga popote pale ulipo

:embarassed2:ninaomba msaada wa kupata haki miliki ya utafiti wangu:embarassed2:
 
hao kweli ni interahamwe. kama kweli wameshindwa kuheshimu maamuzi yetu sina jina lingine la kuwaita. na Prof. Lipumba yupo sahihi kabisa.

Hv wakuu kama si akili za kijinga ni
Sheria gani mbunge huyu jasson rweikiza alitaka
Pro Lipumba ashitakiwe nayo?
Ndani ya bunge si kuna kinga?
Tena baadae anawapa waziri wa mambo ya ndani na wa sheria angizo
La kumkamata lipumba eti alifanya kosa la jinai huu si upuuzii kweli?
 
Lipumba hakumfananisha moja kwa moja mtu yeyote wala taasisi yoyote na Interahamwe. Ashitakiwe kwa msingi upi? Ikumbukwe pia kuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wana kinga kwa chochote watakachokisema ndani ya bunge.
 
Kauli ya John Komba kwamba ataingia msituni kupigania serikali mbili huoni kama Lipumba was right kuwaita intarahamwe.
 
Back
Top Bottom