GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,865
Kuna relief anaipata, ww hujawahi kujikwaa?? Nini kilitokea?? 😜
Kuna muda tusijifanye watakatifu wakati wote ni mashetani 😂😂😂
Nooo madam!Kuna relief anaipata, ww hujawahi kujikwaa?? Nini kilitokea?? 😜
Kuna muda tusijifanye watakatifu wakati wote ni mashetani 😂😂😂
AminaWatu wa aina hiyo mi huwa sishindani nao maana mdomo wangu si wakutoa maneno machafu.
Wewe toka uzaliwe hujawahi kutukana?? Hata kimoyo moyo bila watu kukuona??Nooo madam!
Siyo wote ni mashetani mkuu! Mimi nitoe humo.
Isitoshe, kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kilichojaa moyoni mwake!
Ukilibinya chungwa, litatoa juisi ya chungwa, limao - juisi ya limao.
Mtu naye hisia zake "zikiguswa", kilichomo moyoni mwake humwagika kupitia kinywa chake.
shetani pekeyako😷Kuna relief anaipata, ww hujawahi kujikwaa?? Nini kilitokea?? 😜
Kuna muda tusijifanye watakatifu wakati wote ni mashetani 😂😂😂
🤣🤣🤣 hapo umetype huku unajijibu “Ila kweli mi shetani Lamomy hadanganyi”shetani pekeyako😷
Ushawahi kujikwaa lakini?? 😂😂😂Inategemea Kinachotokana mdomoni ni kile ulichoishibisha AKILI yako.
Kwa MTU smarter hata itokee nini hawezi toa matusi
Ni viwango vya ukuaji ,na mazingira unayopendelea kukaa .
Matusi ni Alama kuwa Afya ya akili sio nzuri.
✅👏👏👏🙏Watu wa aina hiyo mi huwa sishindani nao maana mdomo wangu si wakutoa maneno machafu.