Greetings
Mara nyingi nimeona watu wengi wakihudhuria interview zaid ya kumi na hawapati kazi na wakati huo kuna wengine wanahudhuria interview moja tu na wanapata kazi. nikawa najiuliza maswali mengi na kutokupata majibu sahihi. wakati mwingine nilifikiri labda ni mkono wa mtu ndo maana wengine wanashindwa kupata kazi.
Naomba ufafanuzi kutoka kwa wanajamii. Hivi inawezekana mtu akawa na vigezo vyote vya kupata kazi na akawa amewashinda wengine lakini siku ya interviewkutokana na uwoga na wasiwasi akashindwa kufanya vizuri katika ule usaili. Je kwa kigezo hicho tu ndo kinaweza kumfanya mtu huyo kukosa kabisa kazi hiyo
kuchemsha siku ya interview je kunakufanya uonekane huwezi kuimudu kazi?Hapa hoja ni nini?
kuchemsha siku ya interview je kunakufanya uonekane huwezi kuimudu kazi?
'Kuonekana' ndio nini?
Mkuu Mbona unauliza maswali ya ajabu ajabu wakati umeshapewa ufafanuzi wa swali?
Mazee maswali yangu kama ni ya ajabu yaache kama yalivyo sijakuomba uyajibu. Ebo!
Ofcoz sijakujibu ila kama huna cha muhimu cha kuandika piga kimya wenye maoni ya maana watoe.
mkuu umeishiwa points....AU kama vile viswali vyako ulikuwa unataka kuhit kwenye point fulani basi nenda moja kwa moja kwenye pointhivi wewe ni nani unayeamua maoni yepi ni ya maana na yepi si ya maana? Kwani umelazimishwa kusoma ninachoandika? Unachangia kulipia bandwidth? Au kiherehere tu kama binti aliyevunja ungo?
mkuu umeishiwa points....AU kama vile viswali vyako ulikuwa unataka kuhit kwenye point fulani basi nenda moja kwa moja kwenye point
Wewe unaacha kufanya yanakuhusu unaanza kuleta porojo na upumbavu. Kama nimeishiwa point lete pampu ya point basi tuzijaze hizo point..
Sikiza wewe gret sinker, kama huna la kuongezea kaa pembeni..hivi ni nani amekwambia nimekasirika? Hebu lione kwanza..Mheshimiwa nia yetu sio kukukasirisha manake hatujui umeamkaje.....ila kwa jinsi unavyokurupuka inaonyesha hizo hasira umezitoa sehemu nyingine ......
Mazee maswali yangu kama ni ya ajabu yaache kama yalivyo sijakuomba uyajibu. Ebo!
Hivi wewe ni nani unayeamua maoni yepi ni ya maana na yepi si ya maana? Kwani umelazimishwa kusoma ninachoandika? Unachangia kulipia bandwidth? au kiherehere tu kama binti aliyevunja ungo?
Wewe unaacha kufanya yanakuhusu unaanza kuleta porojo na upumbavu. Kama nimeishiwa point lete pampu ya point basi tuzijaze hizo point..
Sikiza wewe gret sinker, kama huna la kuongezea kaa pembeni..hivi ni nani amekwambia nimekasirika? Hebu lione kwanza..