Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
[emoji125][emoji125][emoji125]Ila JPM kama dk chache kabla ya kufa alifanya huduma ya maombi , mwamba sku ya mwisho kuna hatari akasepa mbinguni [emoji3][emoji3]...mana calculation za Mungu za ajabu sana , kukufutia issue zako za nyuma ni swala la robo sekunde tuu...! Nafas za wachache Sana hzo , za kujua it is almost home tyme duuh... Wengine tutakufa ghafla kabla hata hatujawekana Sawa na Mungu wetu ...
Acha kujisemea mambo ya hatari maana kufa bila kuweka mambo sawa na Mungu nimajanga hayo..tuombe wakati wakifo tufanye upatanisho kwanza maana vngnevyo huwezi kuuona USO Wa Mungu..Ila JPM kama dk chache kabla ya kufa alifanya huduma ya maombi , mwamba sku ya mwisho kuna hatari akasepa mbinguni 😀😀...mana calculation za Mungu za ajabu sana , kukufutia issue zako za nyuma ni swala la robo sekunde tuu...! Nafas za wachache Sana hzo , za kujua it is almost home tyme duuh... Wengine tutakufa ghafla kabla hata hatujawekana Sawa na Mungu wetu ...
Ila JPM kama dk chache kabla ya kufa alifanya huduma ya maombi , mwamba sku ya mwisho kuna hatari akasepa mbinguni 😀😀...mana calculation za Mungu za ajabu sana , kukufutia issue zako za nyuma ni swala la robo sekunde tuu...! Nafas za wachache Sana hzo , za kujua it is almost home tyme duuh... Wengine tutakufa ghafla kabla hata hatujawekana Sawa na Mungu wetu ...
Unaruhusa kamili ya kuchangia maoni yako ila sio umuelekeze MTU Fulani na nimetoa mada hiyo kuwa eleza ukweli ulivyo kuepukka false doctrine za wapotoshaji..Jf nowdays....
Ume uliza swali au umetoa conclusion?
Nilidhani unakaribisha watu kwenye mjadala wa kujibu swali lako
Ungepata mchango mzuri Wenda kuliko hicho ulichoandika hapo
🙏Mkuu nakubaliana nawewe pasina chembe yenye kutia shaka,mwili ndo hufa ila roho haifi, ndo maana mwenyezi mungu anasema kwa sisi wakristo :-
Mathayo 10:28.
Msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa Jehanamu.
So mwenye uwezo Wa kuua roho ni mungu pekee.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nimesoma maelezo yako lakini napingana na hiyo hoja yako hapo juu 👆.Ijapokuwa sote tutakuwa tumefufuliwa, hatutaenda sote mbinguni mahali pamoja. Mtu sharti afanye uamuzi wa kuchagua sasa juu ya mahali anapotaka kuenda kwa umilele wake. Bibilia inasema ya kwamba imetupasa kufa mara moja na baada ya kifo hukumu (Waebrania 9:27). Wale waliotakaswa wataenda kwa uzima wa milele mbinguni, lakini wasioamini watapelekwa kwa hukumu ya milele ama jehanamu (Mathayo 25:46).
Ahsante mkuu kwa kujazia naimani itasaidia wengiNimesoma maelezo yako lakini napingana na hiyo hoja yako hapo juu 👆.
Iko hivi; Binadamu hajahaidiwa MBINGU kama mahali atakapoenda kuishi baada ya maisha haya. Watakatifu hawakupewa ahadi ya kuishi Mbinguni kwa MUNGU. Biblia imeeleza wazi kabisa kuwa Watakatifu watairithi "nchi" yaani dunia mpya na siyo Mbinguni.
Ndiyo maana YESU atakuja duniani tena kuuleta Ufalme wa MUNGU hapa duniani na makao makuu ya Ufalme huo wa MUNGU yatakuwa Jerusalem. Siku YESU atakaporudi haji kuwachukua Watakatifu na kuwapeleka Mbinguni bali anakuja kuwafufua na kuishi nao hapa hapa duniani kwa miaka elfu moja kwanza kisha baada ya hiyo miaka elfu kupita, MUNGU mwenyewe atashuka kuja duniani na kuungana na Watakatifu hao na kuishi nao hapa hapa Duniani milele na milele.
UFUNUO 20:7-10
"Na hiyo miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa atoke kifungoni mwake; naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe za nchi, Gogu na Magogu, kuwakusanya kwa vita, ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari. Wakapanda juu ya upana wa nchi, wakaizingira kambi ya Watakatifu, na mji huo uliopendwa. Moto ukashuka kutoka Mbinguni ukawala. Na yule Ibilisi mwenye kuwadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti...... "
Kwa maelezo hayo utaona kwamba YESU atakaporudi atakaa na Watakatifu hapa hapa duniani katika kambi ya Watakatifu kwa miaka elfu, wakati huo Shetani atakuwa amefungwa gerezani. Hivyo tunaona wazi kabisa YESU haji kuwachukua Watakatifu na kuwapeleka Mbinguni. Hebu tusome kifungu kinachofutia..
Soma UFUNUO 21:1-8
"kisha nikaona Mbingu mpya na nchi mpya kwa maana Mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita wala hapana bahari tena. Nami nikauona ule mji mtakatifu Jerusalem mpya, ukishuka kutoka Mbinguni kwa MUNGU, umewekwa tayari kama bibi arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe. Nikasikia sauti kubwa ikitoka katika kile kiti cha Enzi ikisema, tazama, maskani ya MUNGU ni pamoja na Wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye MUNGU mwenyewe atakuwa pamoja nao........ "
Hapa napo tunaona sasa MUNGU akiwa ndani ya ule mji Mtakatifu yaani Jerusalem mpya uliojengwa Mbinguni anashuka duniani pamoja na mji huo na kuja kufanya makao yake pamoja na Watakatifu waliopo hapa duniani. Hii inadhihirisha wazi kabisa kuwa Watakatifu hawataenda Mbinguni kwa MUNGU bali watamsubiri MUNGU naye atakuja kuishi nao hapa hapa duniani lakini katika dunia mpya yaani "paradiso". Kwa uhakika zaidi hebu tusome kifungu kingine kutoka kwa Ezekieli.
EZEKIELI 37:12-14
"Basi tabiri, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi, tazama, nitafunua makaburi yenu, na kuwapandisha kutoka katika makaburi yenu, enyi watu wangu, nami nitawaingizeni katika nchi ya Israeli. Nanyi mtajua ya kuwa mimi Ndimi BWANA, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa ninyi katika makaburi yenu, enyi watu wangu. Nami nitatia Roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawawekeni katika nchi yenu...... "
Hakuna neno lililo dhahiri shahiri kama hilo hapo juu. Tumeona wazi kabisa kuwa wafu watafufuliwa na kuwekwa katika nchi yao hapa hapa duniani na wala siyo Mbinguni. Jamani msidanganyike, baada ya ufufuo Watakatifu hawataenda Mbinguni bali wataanza maisha mapya hapa hapa duniani!. Hebu tumalizie kwa kusoma kifungu cha Isaya.
ISAYA 65:17-25
"Maana tazama mimi naumba mbingu mpya na nchi mpya, na mambo ya kwanza hayatakumbukwa, wala hayataingia moyoni......... Nao watajenga nyumba na kukaa ndani yake, watapanda mizabibu na kula matunda yake. Hawatejenga na kukaa mtu mwingine ndani yake, hawatapanda akala mtu mwingine, maana kama Siku za mti, ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu na wateule wangu watazifurahia kazi za mikono yao muda wa siku nyingi. Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu, kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao. Na itakuwa ya kwamba kabla hwajaomba nitajibu, na wakiwa katika kunena nitasikia. Mbwa Mwitu na mwanakondoo watalisha pamoja, na Simba atakula majani kama Ng'ombe, ........"
Tumeona wazi kuwa Watakatifu wataishi katika dunia mpya na siyo MBINGUNI kwa MUNGU.
ikiwa mnaamini mtu akifa anaenda Mbinguni kwa MUNGU, Je, kuna haja gani basi ya mtu huyo kufufuliwa tena na kutoka kaburini mwake ikiwa tayari yupo Mbinguni kwa MUNGU???
Wakristo wenzangu, tusidanganywe, tuyasome "maandiko" na tutaijua KWELI nayo hiyo KWELI itatuweka HURU.
Una uhakika kwamba ukitubu siku ya mwisho hua unasamehewa unaenda direct? Yani hujawah kutubu au kutenda mema usubiri kutubu siku za mwisho kutubu baada ya kuona huchomoki eti mungu akusamehe hakuna ujinga wa hivo..Hell to hellIla JPM kama dk chache kabla ya kufa alifanya huduma ya maombi , mwamba sku ya mwisho kuna hatari akasepa mbinguni 😀😀...mana calculation za Mungu za ajabu sana , kukufutia issue zako za nyuma ni swala la robo sekunde tuu...! Nafas za wachache Sana hzo , za kujua it is almost home tyme duuh... Wengine tutakufa ghafla kabla hata hatujawekana Sawa na Mungu wetu ...
Mwangalie mwizi pale msalabani alichomokaje...unasomaga biblia gan ww chief ....wokovu hauangalii matendo yako ya nyuma , just ni Nia dhabit ya toba toka moyoni , with in a second anaclear kila kitu, .....jidanganye na matendo yako sasa .....Una uhakika kwamba ukitubu siku ya mwisho hua unasamehewa unaenda direct? Yani hujawah kutubu au kutenda mema usubiri kutubu siku za mwisho kutubu baada ya kuona huchomoki eti mungu akusamehe hakuna ujinga wa hivo..Hell to hell
Ok dhulumu/Ibia watu tesa watu tembea na wake za watu halafu uje utubu siku za mwisho Mkuu, halafu tutakutana wote peponi.Mwangalie mwizi pale msalabani alichomokaje...unasomaga biblia gan ww chief ....wokovu hauangalii matendo yako ya nyuma , just ni Nia dhabit ya toba toka moyoni , with in a second anaclear kila kitu, .....jidanganye na matendo yako sasa .....
Wewe ndio wale wale embu fikiria kilicho zaliwa kwa mwili ni mwili na kilicho zaliwa kwa roho ni roho.. Mungu ni hai naye ni Roho ..kwanza nikuambie kwanini Roho ya Mungu huwa herufi kubwa..nikwasababu yeye ni asiri ya roho zote..hii inamaana kuwa chanzo cha uhai wakila kiumbe ni Roho ambaye ni Mungu na roho zote ndizo zitiazo uzima katika kila mwili Wa kiumbe.. Mwili hauna muunganiko Wa lazima na roho hivyo roho haitegemei mwili kuishi ila mwili utegemea roho kuishi..jiulize pumzi ya uhai alipewa MTU na baadae urudi kwa muumbaji wake..inamaana kile kitiacho uzima mwili ndio huondoka...aya tukumbuke wale malaika waliopenda wanawake Wa duniani walijitengenezea miili na kisha kuivaa wakawa watu ila hawakubanwa na mwili kwakua sio Kazi waliyopewa ila roho ya binadamu ilianzia Kazi kwenye mwili na kwaagizo la Mungu roho inabanwa na mwili ila kama mwili utakubali kutoa ushirikiano kwa roho.. Izo Sera za kuwa roho ya binadamu inayeyuka ni uvumi wakijinga na false doctrine.. Ila nikuambie kitu rahisi tu.. Mwogope awezaye kuua mwili na roho na sio auwaye mwili ila hawezi kuiua roho..shetani apendi kukuambia habari za roho maana anajua hana uwezo nayo kuishinda ila anasema kuhusu mwili kwani anajua ni dhaifu kwaiyo angalia fundisho unalopokea maana fundisho la mwili ni lashetani na roho nila mbinguni maana niuhai ila mwili nikifo..unasema eti kuamini roho haifi ni kumuamini shetani kuwa hatufi..shetani aliposema vile alisema pia mtajua mema na mabaya haya walipokula wakawa wanajua mema na mabaya ila ishu ya kufa hapo shetani alisema uongo ila tundra lilikuwa maalumu kuharibu mwili ili roho itoke na mpango Wa Mungu uharibike..shetani alikuwa anataka kuharibu Kazi ya Mungu yaani lengo la Mungu niawe na viumbe vyenye mwili vitawale duniani sasa shetani anaonekana wazi anataka kusiwe na kiumbe mwenye mwili na dunia isitawalike na wenye mwili maana roho haitawali dunia ila roho ikiwa ndani ya mwili kwaiyo hata Yesu aliposema yeye sio waulimwengu alimaanisha kiroho ndio maana hiyo ila kimwili anahusika na dunia... Hivyo Kazi ya shetani ni kuharibu Kazi ya Mungu anajua binadamu kuishi kwa roho halikuwa lengo la Mungu na akishakuwa roho dunia haimuhusu..hivyo Basi shetani alitaka kuuharibu mwili iliutengane na roho yake na sasa anajua Mungu kaja na njia mpya hivyo nayeye anataka watu wafikiri wao ni mwili ili washindwe kwa udhaifu Wa mwili maana roho nikazi...ROHO ILAZI LAKINI MWILI NI DHAIFU.eti roho haifi,upagani huo roho hupatikana baada ya mwili kupuliziwa pumzi ya uhai hivyo roho ni muunganiko wa pumzi ya uhai na mwili,pumzi ya uhai inapomtoka mtu inarudi kwa aliye itoa kwa hiyo roho inakuwa imevunjika kwani Ni matokeo ya muunganiko wa pumzi na mwili,kufundisha roho haifi Ni kukubaliana na shetani aliye sema hutakufa hakika.
watoto wa marehemu wasingenyanyaswa na mashangazi na wajomba kama marehemu angekua sehemu anaonaMTU anaishi baada ya kufa?
Mara nyingi kume kuwa na mafundisho mengi ya upotoshaji, nazaidi wengi wao wakifanya kama alivyo Fanya shetani kutumia maandiko matakatifu kumjaribu Yesu mwanawa Mungu. Tumeona na kusikia habari mbali mbali juu ya nini utokea baada ya kifo.
Mara nyingi tumesikia MTU aliyekufa hajui lolote wengine ukifananisha kifo na usingizi.. Sasa tujiulize nini kinatoa uhai yaani kipi kinachofanya mwili uwe na utendaji? Imeandikwa Mungu baada ya kuumba mwili aliupulizia pumzi ya uhai. pumzi ya uhai ninini? Pumzi ya uhai ni roho... roho ndio itiayo uzima na roho ndio uhai kamili.
MTU hufa kwa sababu roho inapofika kikomo cha kuendelea kukaa ndani ya mwili dhaifu.. Roho inauhai na haina udhaifu ila mwili sio hai na nidhaifu.
Mwili unapokuwa umechoka sana na hauwezi kufanya tena Kazi zinazo amriwa na roho... Hapo roho utoka ndani ya mwili na kifo ndio hutokea... Baada ya roho kutoka katika mwili uendelea kuishi kwa nyakati zote kwakua Mungu alipotuumba tu alitupa umilele kwa kutujalia roho isiyo kufa... Pale bustanini kulikuwa na mti Wa uhai na kifo...
Mti Wa kifo ulikuwa maalumu ya kuharibu utdndaji Kazi Wa mwili na hivyo kulelekea mwili kushindwa kuendelea na utendaji na kupelekea kifo.. Ukiwa msomaji mzuri Wa biblia utaungana nami mkono pale Yesu aliposema roho ilazi lakini mwili ni dhaifu.. Alielezea jinsi gani mwili na roho vilivyovitu viwili tofauti
Roho ndio uhai..asiye elewa ajiulize. Nini kinafanya MTU aongee? Na nini ninafanya ashindwe kuongea au nini kinafanya MTU apumue na kipi kinafanya ashindwe? Kwa maana MTU hufa na hewa ikiwa imezunguka eneo lake lakini kwanini anakufa? Ndio maana nasema MTU hufa pale mwili unaposhindwa kutekeleza kile roho inachotaka kifanyike.
Je! Kuna uhai baada ya kifo....? Jibu ni ndio duniani mwili aupo ila roho IPO... Ushawahi kujiuliza kwanini wanaita mwili Wa .... Nasio Fulani? Jiulize mwenye mwili yupo wapi? Ukweli ni kuwa yupo mahali Fulani amekaa anaangalia na anaishi ila hana Kazi tena na mwili wake maana hauwezi tena...
Ndio maana tunaambiwa baada ya kufufuliwa tutapewa miili mipya isiyo na udhaifu ili isijeikashindwa Kazi roho ikaiacha tena..
Tunakufa kwakuwa mwili hauwezi kitu hapa ndio pale msemo Wa wafu awajui lolote unakuja..ishu ya wafu ni mwili ila roho ambaye ni Mimi nitasikia kwa wanadamu na eidha kwa wenzangu Wa roho eti kuwa nimekufa ila kimsingi nipo hai ila bila mwili..Leo tuishie hapa tupate mmeng'enyo wayale tuliyosoma
Ukifa mambo ya mwili haya kuhusu na hauwi katika mwili..shangazi na wanao ni binadamu na sio roho. Kwani watu awauliwi au awateseki kwani Mungu hayupo? roho zote ufanya sawa sawa na asili yao ya rohowatoto wa marehemu wasingenyanyaswa na mashangazi na wajomba kama marehemu angekua sehemu anaona