mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,551
Kuna ndugu yangu amepangwa Mgambo JKT iliyoko mkoani Tanga. Lakini hajui iko wilaya gani na namna ya kufika huko akitokea Dar!!! Naomba taarifa kwa anayeifahamu ilipo.
Akifika huko Tanga atakujua.Kuna ndugu yangu amepangwa Mgambo JKT iliyoko mkoani Tanga. Lakini hajui iko wilaya gani na namna ya kufika huko akitokea Dar!!! Naomba taarifa kwa anayeifahamu ilipo.
Kuna ndugu yangu amepangwa Mgambo JKT iliyoko mkoani Tanga. Lakini hajui iko wilaya gani na namna ya kufika huko akitokea Dar!!! Naomba taarifa kwa anayeifahamu ilipo.[/mwambie apande gar za Tanga watamshumsha njia panda kwenda mgambo Jk
Panda basi la Tanga mwambie konda akushushe Kabuku. Ukishuka vuka barabara upande wa pili ilipo sheli. Hapo chukua bodaboda, mwambie akupeleke kambini. Ni kilomita 16 toka barabara kuu, elewana naye bei tu.Kuna ndugu yangu amepangwa Mgambo JKT iliyoko mkoani Tanga. Lakini hajui iko wilaya gani na namna ya kufika huko akitokea Dar!!! Naomba taarifa kwa anayeifahamu ilipo.


).Ukiwa na kapoketi mane katakusaidia kupunguza njaa in case posho ikichelewa au ikikatwa ukapewa elfu 21 pekeeHivi posho bado zipo?Usisahau mafuta mgando kwa ajili ya jock itch itakusaidia.Ukiweza beba hata spirit kidogo itakusaidia kuzuia mapere ukishapigwa para.Ukiwez kupata metronidazole na paracetamol itakua vizuri siku ukipata homa sababu ya kidonda au mchafuko wa tumbo kwa kula karanga.Usisahau tranka (soldier box) kule utalinunua kwa bei kubwa maafande wana njaa wale (halafu huwa wanajitapa wanalipwa parefu).Ukiwa na kapoketi mane katakusaidia kupunguza njaa in case posho ikichelewa au ikikatwa ukapewa elfu 21 pekee
Ukawe mwepesi na kama ni serengeti tunza vizuri mkojo wako
Apande mabasi ya kwenda Tanga, kisha ashuke Kabuki. Avuke upande wa pili wa barabara ataona barabara ya kwenda Mgambo JKT. ni mwendo wa kilomita 15 kutoka hapo. Lakini JKT huwa wanaleta usafiri wao hapo kabuku kuwabeba hao kuruta.Kuna ndugu yangu amepangwa Mgambo JKT iliyoko mkoani Tanga. Lakini hajui iko wilaya gani na namna ya kufika huko akitokea Dar!!! Naomba taarifa kwa anayeifahamu ilipo.
Jamaa zetu hatari sana, wanatoa gari ya jeshi kuja kuwapokea vijana lakini wanatozwa nauli kama wanakwenda mkoani. KM 16 wamelipishwa nauli 5,000 na fedha ya dharura ya safari 5,000 jumla 10000@. Nimepata taarifa nikashangaa sana.Usisahau mafuta mgando kwa ajili ya jock itch itakusaidia.Ukiweza beba hata spirit kidogo itakusaidia kuzuia mapere ukishapigwa para.Ukiwez kupata metronidazole na paracetamol itakua vizuri siku ukipata homa sababu ya kidonda au mchafuko wa tumbo kwa kula karanga.Usisahau tranka (soldier box) kule utalinunua kwa bei kubwa maafande wana njaa wale (halafu huwa wanajitapa wanalipwa parefu).Ukiwa na kapoketi mane katakusaidia kupunguza njaa in case posho ikichelewa au ikikatwa ukapewa elfu 21 pekee
Ukawe mwepesi na kama ni serengeti tunza vizuri mkojo wako