Ni mazoea tu mkuu km ambavyo mtu mwingine hawezi kunywa bia nyumbani.
ila na wewe ni mkewe!
mimi nadhani angekuwa anakifurahia chakula cha nyumbani angefunga safari akifuate hata kama ni mbali.
Men like always to be treated like some lords, unakuta mtu kagombana kidogo tu mama yoyo, anasusa kula nyumbani.
At times i can buy the idea, just imagine unagombana na mke wa #kichagga , you hv to play some manoeuvre to avoid food poisoning....
labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................
Au mkewe ni kama NANDERA atamuwasha maswali, umeagaje ofsini, mafuta ya kuja si bora ungekula huko, mchana hapa hapapikwi kihivyooo!!!!!labda wakeze ni waajiriwa hawapo nyumbani, au hapendi kuwasumbua, au hakuoa ili apikiwe, au hana sababu ya kubana matumizi kwa kwenda kula nyumbani, au hataki kero za kwenda kula kila nyumba kwa zamu, au anavutiwa zaidi na mapishi ya hotelini, au.......................