Uchaguzi 2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

Huyu ni mnafiki, leo kakiri kuwa walimpokea EL kwa kuaminishwa ni mgombea mwenye mabilioni. Wakawasaliti wahanga walio wadanganya kuandamana na kuishia kuwa Vilema na wengine kufa. Wajumbe eti wanamshangilia huku hotuba yake ikiwa imejaa shari. Anaandaa wahanga wengine watarajiwa.

Kwa hii hotuba yake ana amini yeye tayari ni mshindi na asiposhinda madhumuni yake nikuingiza nchi kwenye machafuko. Ndio mafunzo aliyofundishwa huko alipotoka. Watu wanamshangilia.!!!
 
Huyu ni mnafiki, leo kakiri kuwa walimpokea EL kwa kuaminishwa ni mgombea mwenye mabilioni. Wakawasaliti wahanga walio wadanganya kuandansna na kuishia kuwa Vilema na wengine kufa. Wajumbe eti wanamshangia huku hotuva yake ikiwa imejaa shari. Anaandaa wahanga wengine watarajiwa.

Kwa hii hotuba yake anamini yeye tayari ni mshindi na asiposhinda madhumuni yake nikuingiza nchi kwenye machafuko. Ndio mafunzo aliyofundishwa huko alipotoka. Watu wanamshangilia.!!!
Mmezoea kushinda kwa kupoka ushindi wa wengine. Ila kwa taarifa yenu ni kuwa mwaka huu ndo mwisho kwa nyie kufanya huo ufedhuli wenu . Kura zihesabiwe kwa haki na mshindi apewe ushindi wake. Vinginevyo nguvu ya umma kazini
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Natamani wapate kisukari, BP, Malaria washindwe kutibika wakufie mbali sema Mwamba kasema tuwasamehe
 
Hiyo in miss interpretation yako tu.
Huyu ni mnafiki, leo kakiri kuwa walimpokea EL kwa kuaminishwa ni mgombea mwenye mabilioni. Wakawasaliti wahanga walio wadanganya kuandamana na kuishia kuwa Vilema na wengine kufa. Wajumbe eti wanamshangilia huku hotuba yake ikiwa imejaa shari. Anaandaa wahanga wengine watarajiwa.

Kwa hii hotuba yake ana amini yeye tayari ni mshindi na asiposhinda madhumuni yake nikuingiza nchi kwenye machafuko. Ndio mafunzo aliyofundishwa huko alipotoka. Watu wanamshangilia.!!!
 
Mungu wetu ni mkuu tuanzishe kampeni salama zisizovunja sheria ili mtesi wa taifa aondoke kwenye macho ya nchi.
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
NiYeye!!!!!!!!
 
Historia ya taifa imeshabadilika kabisa kuanzia Leo //

Kuna dola na serikali

Lakini pia

Kuna

Uma/ watu na Mungu wao !!

Hii ni Vita

Dola vs Mungu
Watu vs Dola

Mshindi atajulikana
 
Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.

Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?

Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.

Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Wengine wanakabidhi ofsn wengine wako kaburini. Mungu ni waajabu sana.
 
Back
Top Bottom