Mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele

Mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele

Mimi Sasa nimeamua kuacha kutoa michango ya msiba Kama nimepata taarifa ya mtu alikuwa mgonjwa halafu sikuchanga aise hapa tubadilike kabisa jamani!
 
Kuhudumia wagonjwa sio cost effective.

Wanaogua ni wengi wanaokufa ni wachache. Ikiwa tutaamua kutumia servings zetu kuhudumia wagonjwa wote hatutafika. Ila kifo ni one time event, tukikuzika Leo , kesho huwezi kutuingiza tena gharama ya kukuzika the second time unless jiji/ manispaa wanahamisha makaburi. Ukiumwa Leo tukajichanga haina guranteee kwamba hutoumwa tena, pia michango yetu ya kukuuguza haituhakikishii kuwa utapona,why tuchange Mara mbili, bora tusubiri kuchangia mazishi.

Kuumwa ni continuous , wakati kifo/ mazishi in Mara moja, I can't get a second chance to burry you, I have to do it anyway.

Hata hivyo afya/ huduma za afya ni jukumu lako mwenyewe. Tafuta bima, it is until when you are dead you become our responsibility, kwani tusipokuzika utatunukia tu.

Unapowekeza na kuweka akiba ufikirie na magonjwa ili usije kuleta lawama kwa watu. Bima ya afya ndio mwarobaini. MTU una 40 M bank Ila akili ya kukata bima ya family for 1.5M per year unakosa. Ukiugua 4 months tu akiba inapukutika then unabaki lawama.
Sichangii harusi, sichangiii kuumwa, nachangia mazishi tu baaasi,kupanga ni kuchagua.

Povu ruksa.
Moja kati ya watu wenye akili.
Halafu kaka hii Tania ya kuchanga mazishini kuliko ugonjwa ni Tania ya binadamu dunia nzima. Watu wanajidai ooh mbongo hakuchangii mpaka ufe
 
Poleni na pilika za weekend,

Moja kwa moja naenda kwenye mada.
Naombeni kujadiliana kuhusu jambo hili, eti mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele, kwa wakristo unavotoa hata mkono wako wa kushoto usione mbona mnatupatia bahasha tuweke sadaka humo huku nje tukiwa tumeandika majina yetu, je wale wanaohesabu hizo sadaka hawayaoni majina yetu na kiasi tulichotoa, na mengineyo mengi tu ila leo naishia hapo.

Karibuni kwa michango zaidi.
Kuumwa samtaimu waweza kuwa haupo serious, ni mara ngap makazin, shulen au vyuoni tumeumwa ili tudoji tu.
But hakuna anaejifanya kufa ili adoji..
Pia mguso wa Kuumwa ni tofauti na kifo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom