Mtu akisema "hali ngumu" kichwani inakuja picha ya huyu!!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,263
69,502
magufuli.jpg
 
Ukifafanua utaeleweka, la bandiko lako litakuwa la kejeli kwake yeye na nafasi aliyo nayo kitaifa. Na nafasi yake kitaifa ukiikejeli unawakejeli Watanzania wote, ikiwa na wewe mwenyewe
wala sio kejeli,huko ni kufikiria ki image na sawa na wewe ukiwa unasoma kitabu ni kama unayaona yale matendo au hata unaweza kucreat image ya mtu unaemfahamu ukamuweka kama mhusika lkn si mhusika.. hlf jambo hili si utani nikweli kbs mtu akisema hali ni ngumu kichwani inakuja picha ya rais kwani ni dhambi..?
 
Moja ya sifa ya kiongozi bora ni hekima, busara na unyenyekevu kwa watu unaowaongoza. Iwe katika shirika binafsi, taasisi ya umma, ya kidini n.k! Inapotokea kinyume chake wale unaowaongoza wanasononeka na kuanza kukuchukia.

Ni vema afahamu hata yeye aliwahi kuongozwa na watu e.g., amkumbuke kiongozi wake wa darasa wakati akiwa shule ya msingi darasa la kwanza jinsi alivyomuongoza kwa hekima hadi mara ya mwisho alipokuwa waziri kabla ya kuteuliwa na chama kuwa mgombea Urais! Je wangekuwa wanamfanyia yeye anayowafanyia wenzake je ANGEFIKA HAPO ALIPO??

Imagine, maisha yalivyobadilika toka alipoingia madarakani. Mtumishi wa umma leo hii ni 2017 lakini anaishi kwa kutegemea mshahara ule ule wa toka mwezi July 2015 alio uacha kikwete; IS IT FAIR? Uwe na moyo wa ubinadamu, asidhani watu wamekaa kimya wanafurahia uongozi wake; asilimia kubwa ya wa-tz wana majuto makubwa kuhusu uongozi wa huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom