BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,348
Lakini me siishi Moro.Nakuhukumu Kwa sababu Leo hujanielekeza nilichokuwa nakitaka Cha maendeleo sio kila saa mtu aongee mapenzi tu yeye atakuwa anakula wapi??
Lakini me siishi Moro.Nakuhukumu Kwa sababu Leo hujanielekeza nilichokuwa nakitaka Cha maendeleo sio kila saa mtu aongee mapenzi tu yeye atakuwa anakula wapi??
Kwa hiyo walipo ipita bila kucoment chochote ndiyo umekasirika hivyo?Hujaona post ya Leo niliyoitoa nahitaji msaada wakujua viwanja na heka za morogoro ni sh. Ngapi
Sikweli jamani mtu tokea 2019 nimejoin mtu mpaka naleo hajulikani tu ili asaidiwe ??Leo umeamua kutuchamba,
Sawa
Je kma wengi walisoma hawajui bei ndo maana wapo kimya?Hujaona post ya Leo niliyoitoa nahitaji msaada wakujua viwanja na heka za morogoro ni sh. Ngapi
Yaani nashindwa kukupinga kuna jinga moja nilikuwa na shida nikalifuata PM nikajieleza mzee wa watu .
Likadai sawa litanisaidia ila limeishia kuona text zangu no reply na daily liko online ukizingatia nililiambia nitalilipa likinisaidia hivyo nilikuwa ready hata nisinywe pombe siku nzima ili hela yake ifike ila ndiyo kwanza halinijibu.
Oya wewe jinga sikutafuti tena najua utasoma hapa .
Kwanza wewe sio mganga ni tapeli manina.
We nae tumekuchoka bana, kila saa michambo ya uswahilini, Lete nyuzi za maana, waganga wa nini,Humu ukiongea umalaya watu wazima mnoo wanashadadia ila ukiwa unataka vitu vya maendeleo huaambiwi Leo umetolewa machimbo ya waganga makonki walipo ila mtu alipokuwa nauhitaji mliona ni ngumu kumuelekeza ila humu hawakai wanadamu wema humu ni wabaya tu.
Miroho yenu ni mieusi mnarohi za Kwa Nini hamna haya kabisaa . Sijui mtu akifanikiwa inawauma ??😰 Mnachosha mnapenda watu waonekane Malaya, maskini nakadhalika na unajua kabisa unaweza mtatulia mtu shida yake .
Mnakera ila kufika mtakako hata nyie mtangoja sana Kwa roho zenu .
Hata Mungu aliposema mpende jirani Yako kama nafsi Yako ila hamfai kabisa
Ni mtu alikuwa anashida sana Sasa amezoea hao Sasa kwanini msimsaidie mie nipo sijui la mganga au la mchungajiWe nae tumekuchoka bana, kila saa michambo ya uswahilini, Lete nyuzi za maana, waganga wa nini,