Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,594
- 12,367
Na ndiyo ilivyo mkuu watu wana imani huenda roho ya kujinyonga au kuzama maji itaandama ukoo familia na kuna wengine wana miiko na ziwani au baharini kisa tu kuna ndugu alifia majiniMtu akifa kwa kujinyonga,kuuliwa au kufa maji huenda nafsi yake haikubali ile hali ya aina ya mauti ilomfika,hivyo basi nafsi yake itawaandama watu wa karibu/adui kujaribu mawasiliano hapo ndio watu huona mizuka na kupagawa..hivi ndivyo Mimi nadhani baada ya kufikiria sana
naleho bhabha!ng'wamishaga!MBITIYAZA ng'wanike olehoili?
Namishaga nsheke wane kinehe ja milemonaleho bhabha!ng'wamishaga!
mhola duhuNamishaga nsheke wane kinehe ja milemo
Bageshage pye bana keya ntunzu ng'wanza kokayamhola duhu
Bageshage pye bana keya ntunzu ng'wanza kokaya
Nate wa kobeng'we onene yombaga do nikala miaka makomi minge eng'wanza nashitogilwe sana Eshisukuma nakayegaga no okolongalonga na bazenganwahhhhaaah sawa wang'wise
Nate wa kobeng'we onene yombaga do nikala miaka makomi minge eng'wanza nashitogilwe sana Eshisukuma nakayegaga no okolongalonga na bazenganwa
Hivi unajua kuwa kamba aliyojinyongea mtu ni dili kubwa sana .