Mtu akifa anaenda wapi?

3. Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.
Naramani baadhi ya watu wa re incarnate kama mbwa koko hasa wale viongozi wa serikalini.
 

Kwa nini umesema hakuna jibu la uhakika? Jibu la uhakika lipo labda wewe tu ndio huna uhakika.
 
Si kaburini au mwenzetu baniani utachomwa?
 
ni kama kabla ya kuzaliwa kwako

haupo tu yaani

mtazamo wa kwamba kuna mahali utaenda kuishi milele hauna mashiko kwangu kwasababu kuishi milele kutachosha haraka labda kama utabadilishwa uwe msukule
Kabla ya kuzaliwa kwako ulikuwepo ila ukishazaliwa ukavuta pumzi ya duniani unasahau yote ya tumboni. Jaribu kunywa k vant kavu nyingi ukalale kesho uamke kama utakumbuka kitu
 
Mtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
Kuna mtu wako yoyote wa karibu.... alishakufa.... then akafufuka! Akakueleza haya unayotueleza hapa!?...

Kama sivyo.... basi tuendelee na hizi ngonjera!.... Kila mtu aje na ngonjera yake.
 
anakwenda alipotoka, sasa usiulize ametoka wapi...
 
Mtu akifa anakwenda kwenye ulimwengu wa roho. Baada ya siku tatu anakwenda kwenye hukumu. Baada ya hukumu inaamuliwa atafanya nini kwa kutegemea alivyohukumiwa.
Watu wasioamini in an after life,wanakaa gizani,mpaka watakapozinduka.
ACHA UONGO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…