kiboko ya makonde
Member
- Jun 26, 2014
- 48
- 15
nikimshika na muua
Mimi nimesikia amaeondoa Jinsia ya kiume basi
Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.
Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.Bi Mbugua alilishitaki baraza la kitaifa la mitihani nchini humo kwa kukataa kubadililisha utambulisho wa jinsia yake kwenye cheti hicho kutoka kwa Mwanamme na kumtambua kama mwanamke licha ya amri iliyotolewa katika gazeti rasmi la serikali.
Kwani hilo wigi, kupaka wanja, poda na kuremba kucha hufanya hivyo watu wa jinsia gani.?Mie mwenyewe sikumuelewi kwani alikuwa jinsia ya me akabadili na kuwa jinsia ipi??? Maana naona kama amekuwa mwanamke
mbona umuue mkuu? Its a personal decision, akaipeleka mahakamani akashinda, if he is happy living as a woman and is not encroaching on anyone's freedom or threatening our peace, then its all good. live and let live, we have mass murderers, looters of public coffers, and terrorists to worry about, so I can't waste my breath trying to bring down a tax payer who prefers tossing salad, and is happy living his life that way.

Nawewe kajiunge naye basi..maana mijitu mingine bhana.