Mtu 1 afariki dunia huku 30 wakijeruhiwa kwenye vurugu uwanja wa mkapa

Pole kwa waliojeruhiwa. Mwenyezimungu amlaze mahali pema peponi huyo ndugu yetu aliyepoteza maisha. Crowd control kwenye events kubwa kama hizo ni Science ya aina yake. Ukikosea kidogo tu, maafa hayo.

Shirika la Soccer na wote wanaohusika na maandalizi ya michezo na matamasha wajifunze kutokana na makosa yaliyofanyika kwenye hii game.
 
Nikiona kodi zetu zinagawanywa kizembe kwenye mambo ya kijnga napata uzto kulipa kodi.
 
Taarifa ya Awali Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40.


Majeruhi wengi wanaendelea vizuri wana majereha madogomadogo, wanaendelea na vipimo. Aidha timu kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa DSM ipo uwanjani, inafuatilia kwa karibu kuangalia kama kuna majeruhi wengine.

Timu ya Wataalam wa Huduma za Dharura ya Hospitali ya Taifa Muhimbili imeshawasiliana na Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa Temeke na wapo standby kupokea na Kuwahudumia.

Majeruhi ambao watahitaji matibabu zaidi.



Pia, Soma: Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa
Sifa kwa mama, anaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom