Mtoto wangu nitamuita Ruge

Kurithisha watoto majina ni mbaya mno. Don't try it

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila kuwaita majina ya kizungu ndio mnaona raha wakati nayo yana maana sawa na yetu mf. Wolf-Mbwa Mwitu, Stones- Mawe, Drinkwater -Maji ya Kunywa, Florence- Kazaliwa chini ya Sakafu, Gift- Zawadi, Grace- Neema, Happy - Furaha, Hope-Tumaini nk huu nao ni uendawazimu tunabilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…