Mtoto wangu kakutwa na upungufu wa damu.

mnyandzombe

JF-Expert Member
Jul 24, 2015
240
190
Habari wapendwa
Naomba kufahamu katika hili. Nina watoto mapacha wamekutwa na upungufu wa damu mwilini kiasi cha kutoka vidonda mdomoni. Hawawezi hata kula vizuri.
Je nini chanzo cha tatizo hili na tiba yake? Ushauri pia ni muhimu.
Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nadhani huo upungufu wa damu umetokana na kukosa vitamins hasa b12 au madini ya chuma
Ushauri
Nadhani hospitali ni sehemu sahihi watakakokupatia nini cha kufanya pamoja na injection za hizo vitamins
Pia ongeza vyakula kama mboga majani maini kwa mama kama unanyonyonyesha na kwa mtoto pia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukrani kwa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Watoto wana umri gani?

Kama wana chini ya mwaka mmoja na unawapa maziwa fresh ya ng'ombe ni tatizo. Huwa yanazuia absorption ya iron ambayo inahusika katika utengenezwaji wa damu
 
Inaonekana maziwa ya mama hayawatoshelez hao mapacha, ndiyo maana wamepata hayo matatizo na usipoangalia wataenda kweny malnutrition a.k.a utapiamlo.

Najua mmepewa ushauri mzuri sana hospitali hivyo ufuateni kwa makini, humu utaambiwa vingi sana na unaweza usiweze kujua ufuate lipi na uache lipi.

Mwisho kabisa tuambie wamekutwa na damu ngapi kila mmoja?
 
Asante kwa ushauri pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom