Mtoto wangu anarusha sana mkojo

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Nastahajabishwa na ukojoaji wa huyu dogo

Ni mtoto wa wiki 1 sasa tangu azaliwe ni wa kiume ,akikojoa anarusha mkojo mbali utafikiri ni mtu mzima

Kwa wataalam wa mambo hali hii inasababishwa na nini? Manake ukikaa nae karibu hasa ukimkalia kwa mbele utashangaa umeoga mkojo usoni,mida hii kakojoa mkojo umetoka nje ya neti hadi umegonga ukutani.

Inasababishwa na nini hii hali jamanii?
 
Hahahaha mlitaka kuanza kufanya upuuzi wenu wakati mshkaji anataka kunyonya! Kaamua aharibu sherehe! Hawa jamaa utadhani watu wazima.

Sidhani kama ni tatizo! Hakuna shida yoyote
 
I know its not funny lakini aisee nimecheka sana.

Sema mbona watoto ndo wenye uwezo wa kurusha mkojo mbali kuliko watu wazima?.get your facts correct.

Sijaona tatizo kubwa hapa
 
kila kinacho zaliwa kina nguvu nankinakuwa kipya hakitumii kitu kibaya,hakijishindwa kufanya kwenye kiuongo chake,shukuru mtoto kiungo kizima na mpe maadili mema
 
Nastahajabishwa na ukojoaji wa huyu dogo

Ni mtoto wa wiki 1 sasa tangu azaliwe ni wa kiume ,akikojoa anarusha mkojo mbali utafikiri ni mtu mzima

Kwa wataalam wa mambo hali hii inasababishwa na nini? Manake ukikaa nae karibu hasa ukimkalia kwa mbele utashangaa umeoga mkojo usoni,mida hii kakojoa mkojo umetoka nje ya neti hadi umegonga ukutani.

Inasababishwa na nini hii hali jamanii?
Ulitaka Arushe Miguu
 
Sioni kama kuna shida hapo, huyo ndiye gudume gwa mbegu sasa ,mwache aenjoy maisha yenyewe mafupi haya😀😀
 
  • Thanks
Reactions: EEX

Similar Discussions

Back
Top Bottom