A armanisankara JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 283 Reaction score 50 Dec 4, 2014 #1 kuna watanzania wanaishi maisha ya shida. Lakini huyu mtoto wa fisadi anakula raha kwenye club na hotel za bei mbaya. Hapa yupo na Rihanna. Attachments 1417644847342.jpg 95.6 KB · Views: 987
kuna watanzania wanaishi maisha ya shida. Lakini huyu mtoto wa fisadi anakula raha kwenye club na hotel za bei mbaya. Hapa yupo na Rihanna.
commited JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 1,622 Reaction score 872 Dec 4, 2014 #2 Duuhhh kweli kuna magap duniani... Lakini siku yaja kama yaliyowafika wakina gadaf na ukoo wao.
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,154 Reaction score 822 Dec 4, 2014 #3 ya dunia yana mwisho bali hukumu ya moto na mbinguni yana umilele.
J john mapinduzi Member Joined Feb 25, 2009 Posts 99 Reaction score 17 Dec 4, 2014 #5 Hii imekaa ki figisu figisu
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 4, 2014 #6 Acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa Rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,666 Dec 4, 2014 #7 Rihanna!!!
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,167 Reaction score 27,768 Dec 4, 2014 #8 nantes said: acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi Click to expand... weka picha
nantes said: acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi Click to expand... weka picha
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,249 Dec 4, 2014 #9 Eti "Mtoto wa Rugemalira (Escrow) akila Bata na Rihanna" umeamua kukopy na kupaste Bonyeza hiyo link uone hii kitu tayari jana ilikuwa humu ndani.
Eti "Mtoto wa Rugemalira (Escrow) akila Bata na Rihanna" umeamua kukopy na kupaste Bonyeza hiyo link uone hii kitu tayari jana ilikuwa humu ndani.
L ligera JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 2,646 Reaction score 1,172 Dec 4, 2014 #10 Nantes said: Acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa Rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi Click to expand... weka picha zao
Nantes said: Acha kudanganya watu sasa huyu sio mtoto wa Rugemalira,mimi nawajua watoto wake wote,huu sasa uzushi Click to expand... weka picha zao
N Nantes JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 544 Reaction score 144 Dec 4, 2014 #11 tpaul said: weka picha Click to expand... siwezi kuweka picha ni sio haki