ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 926
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Ilikuwa ni Power Breakfast, Morning Jam ni wakati bado Clouds wanatangaza kwa kingereza, alikuwepo Jimmy Kabwe na Seven.Fina na Masoud walitangaza kipindi kimoja pale CLOUDS "MORNING JAM (km sijakosea kabla hakijaitwa PB)
Russel,Travis na Jordan ni majina ya asili?Hata kama ndio kumpa sifa Marehemu naona mnazidisha sasa wabongo dahWa kiume anaitwa juju.. Wakike shubi.nahisi ni kokushubi
Nimependa hii tabia ya ruge kuenzi majina yake ya asili...ukiangalia hadi kwao wote majina ya asili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni interview walitakiwa wafanye halafu mitambo ikakorofisha na interview ikashindikana kufanyika kwa hiyo ikaonekana hawakujiandaa vizuri kwa hiyo balozi akamaindi kweli kweli. Hii ni kwa mujibu wa Kipanya niliangalia interview youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa niliangalia siku nyingi nimesahau cc NifahInterview ilifanyika
Ili kilichotokea ilikuwa ni ubovu wa mic so wakawa wanatumia mic moja watangazaji wote huku moja akitumia ile nyingine
Walioorudi ofisini wakamind hawa kina masoud kwa uongozi ikatafsiriwa kama ukosefu wa nidhamu wakaambiwa waandike barua za kuomba msamaha masoud na wengine waliofukuzwa wakagoma ila wengine waliandika nafikiri babra na hao kina pj pamoja na hando
Ahsante Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa!Ilikuwa ni Power Breakfast, Morning Jam ni wakati bado Clouds wanatangaza kwa kingereza, alikuwepo Jimmy Kabwe na Seven.
wakati wa 40 ya mtoto wake kuna jina lilivuma .... SALAH... huyu nae ni yupi?Wa Zamaradi wa kiume anaitwa Rusels aka JUJU wa kike Shubi, huyu wa kume aka ndio imekolea kuliko jina halisi.
Huyu Salah mwenyewe anamuita KING SALAH ni mtoto wake wa 3 aliezaa na mumewe wa sasa Bwana Shaban.wakati wa 40 ya mtoto wake kuna jina lilivuma .... SALAH... huyu nae ni yupi?
Masoud na Fina waligoma kuingia kwenye kipindi siku moja baada ya interview na Balozi wa US, kwa sababu wakati wa yale mahojiano watu wao wa ufundi hawakufanya kazi yao vizuri na interview haikusikika vizuri, mfano alisema walikuwa wakitumia mic moja wote wa3 yaani Masoud, Fina na Balozi.Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Mmeamua tu kumuoffend warumi
hajawahi kutaja popote jinsia yake!
NA THE FACT ANAWACHANGANYA MUMUHISI NI MWANAUME SHOGA , NI MWANAMKE, NI MWANAUME MCHELEMCHLE!
huo ndo upekee wake!
Sasa binamu ole wako ujiweke hapo af usiwe unanitumi vocha!
NAKUROGA SHINGO IGEUKIE JUU!
psyuuuuuuuuuu na hushindwi kunichinjia baharini wewe nyau!
Huyu Mwachi anaishi US?..kumbe ndo maana habari zake hazijulikani bongo!
Duh kwaiyo uyo jamaa ni handsome? Ama kweli Beauty is in the Eyes of Beholder!
[emoji16][emoji16]Usiniambie . Usinifanye nikategesha mimba binamu [emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivoo?[emoji848]Japo ni utani ila hii notion ya kusema mtu mpole rahisi kumpanda kichwani ifuteni. Hakuna mtu hatari na asiyetakiwa kuchezewa kama mtu anyetumia maneno machache na mtaratibu wa tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuachie kwa kweli maana jinsia imebaki kule leba tu maana wengine hawaingii kuleta viumbe.Ahahahaah siwez binamu🤣🤣
Waambie ndugu zako watulie niwape umbea wa mujini , mambo ya jinsia waniachie mwrnyewe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Sent from my iPhone using JamiiForums