Hata kama ni wewe ukizaliwa kuzuri, una kila kitu unakwenda shule nzuri, kuna watu maalumu wa kukuandaa tangu mtoto uje uchukuwe Uongozi, unafundishwa kila kitu kuanzia kuongea mpaka hata unachaguliwa cha kusema, utashindwa vipi kung'aa?
Mbona William Malecela kashindwa na Mzee Malecella alikuwa mmojawapo wa waafrika wenye uwezo mkubwa sana na kamlea kwa mazingira mazuri kabisa. Huyo binti anastahili sifa.
Hivyo kwangu mimi sioni chochote cha maana hapo, huyo amezaliwa na kila kitu, kama Uhuru Kenya tu, ...