Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Nna ka swali, hivi ni kwa nini watoto wa nje ya ndoa hufanana sana na baba zao?
Yaani ukimuona mtoto tu huna haja ya kuuliza baba yake ni nani, na hukatai jinsi mlivyo fanana.
Hii ni kwa sababu gani?
njoo hapa bana hahah
Ewaa anawapanga kwa foleni, kila baba anamsalimia mtoto kwa mda wake.
Mbaya zaidi kila Baba anapewa Cheti Chake Cha kuzaliwa chenye jina lake, vyote original.
MJINI HAPA!!
Kama kale kakijana ka yule mheshimiwa aliyeimba 'wanawake na maendeleo', kale katoto baba yake mtupu
Either way!?Sijaelewa, mtoto wa nje ya ndoa kwa mama aliyetoka nje ya ndoa au baba aliyetoka nje ya ndoa?