Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 25
Habari za leo ndugu zangu, mimi Jana nilimpeleka mtoto wangu hospital akaonekana amepungukiwa damu kidogo kwa mjibu wa Doctor hivo akaandikiwa dawa za kuongeza damu na nikaanza kumpa jana, cha kunishangaza leo kapata haja Kubwa ya rangi nyeusi asbh na jioni hii pia kajisaidia hivohivo,,,, Je hii husababishwa na nini? Naomba ushauri wenu wataalam.