David Mushi
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 127
- 93
Hivi Mtoto wa Dada yangu Anamtoto wa kike.Je huyu Mtoto wa Dada yangu,Mtoto wake Ataniita Mimi Nani,wakati huyu Mtoto Anamuita Dada yangu Bibi??
Babu, mkuu usiogope kuitwa babu Mimi nilianza kuitwa babu kabla sijawa na mtoto.
