Mtoto wa Mkulima Pinda ampa somo la kilimo kwanza Makamu wa Rais Bilari

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,899


Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika shamba la mahindi la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake ya Mikoa ya Katavi na Rukwa.
 
alaaaaaaaa!!!........sasa ndio nimejua lengo kuu la ziara......ahsante mkuu..lakini mbona halizindui??
 
nadhani umefika wakati wa kuacha kutumia hiyo nickname ya " MTOTO WA MKULIMA"................huyu ni fisadi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…