Mtoto wa mkulima na vyura

Mtoto wa mkulima na vyura

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,066
Katika kutekeleza majukumu ya kikazi mkoa mmoja kusini mwa tz,mtoto wa mkulima alienda kukagua visima. Alipopelekwa akataka achungulie ndani. Kuchungulia akaona kitu kama chura,akauliza: humu kisimani mnafuga vyura? Watendaji wengine walipochungulia wakaiona sura ya mkuu ambayo iko reflected na maji. Kumzuga wakamwambia,tutamwaga dawa inayowaua ili wafe. Kila m1 alienda kuchekea kwake.
 
mh! Jamaa we ni noma nimestukia nacheka kama mtoto mdogo.maana mh...haya bwana
 
Mnh hiyo reflection itakuwa mshkaji alionja wisky
 
Mi nakumbuka na nilikuwa kwenye huo msafara,nilipochungulia niliona sura ya mamba!

Back
Top Bottom