Mtoto wa mkulima mfalme wa nyuki: Atapona katika sakata la kamati ya Lembeli?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kwa amri yake ya 'wapigwe tuu,tumechoka!'Ambayo naamini askari waliotekeleza mateso,unyanyasaji,udhalilishaji na mauaji ya wananchi walikuwa wakitii amri hiyo.Ataponaje katika hili sakata ambapo wabunge wanajadili kwa hisia kali sana.Fuatilia mjadala unaendelea

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mi nategemea mwigulu chemba akipata nafasi ya kuchangia ..,,ateme kohozi juu ya serikali yake
 

Kwa mambo ya msingi kama hayo hawezi.
 
Mheshiwa waziri wa mifugo NA waziri mkuu mtaponea wapi?????? Operation tokomeza,,,,,,
 
wabunge wa ccm si waamini kabisa, wangekuwa kama ni wazalendo kweli wangepitisha mabadilko ya katiba mpya. Wengi wanataka umaarufu tu.
 
Kila siku mawaziri wapya leo mnawaomba radhi kina ngeleja, tuwaite wanafiki au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…