Mtoto wa Mkulima analima wapi?

Huyo anafaa kukodiwa kwa ajili ya kulia misiba ya wanene lakini si kusimamia maendeleo, hawezi kabisaaaaaaaaa!
 
pm gani anavaa tshirt ya tusker bwana huyu ni mnywaji sio mkulima, huyu ameshamaliza kulima sasa hivi anavuna. Nashut down
 
anavuna posho laki 200,000 kila siku bila jasho angekuwa mtoto wa mkulima si angekataa
 
Mzee mzima anajiita mtoto.Atakua lin?Ni mtu mzur kuweka dukan ana kumbukumbu sana hasa za kupindisha mambo.
 
Kila mtu anataka VX V8 wakurugenzi pale wizarani,mawaziri wote wanalilia mashangingi mimi nashangaa kabisa waziri mkuu akilialia bungeni.
 
Analima pale mjengoni maana ndio anaongoza vikao vya kuongeza posho, yeye mwenyewe anaita hizo posho ni urinaji wa asali, na ana nguvu zaidi kwenye kushauri viongozi wa upinzani waende mahakamani na wala sio kwenye chama chake.
 
Mkulima gani huyu anayelialia kila wakati badala ya kufayna maamuzi ya maendeleo.................uwezo wote kikatiba anao lakin sijui anasubiri aje autumie wakati gani?
 

Wengi hjatukumuelewa!!
Yeye alisema ni MTOTO WA MKULIMA,
Hakimaanisha yeye ndio mkulima,
Ye ni fisadi tu kama wengine, ila babaake ndio mkulima!!
Umeelewa sasa??
 
Analimia bungen....rudisha 280000/......huyu jamaa ni mwigizaj.
 
Hamna kitu hapo, kazi kulalamika na kulia, mara mia ya yule mtoto wa mfugaji
 
Huyu ni mkulima kwa jina tu na sio vingine
 
Ana chuo chake cha VETA maeneo ya mikwambe kigamboni kinaitwa MKULIMA VOCATIONAL TRAINING CENTRE.
 
Asante sana kwa respondingi zetu nzuri, hii inaonyesha wazi kwamba baadhi ya waliojiita / wanaojiita na watakaojiita watetezi wetu si watetezi. Nimependa sana mawazo yenu na nimependa zaidi aliyeweka picha, hii inadhititisha kwamba mtoto wa mkulima alilewa na nahisi anaendelea kulewa kama nilivyohisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…